Sababu gani ilikufanya muachane na mpenzi wako uliyempenda sana..

Sababu gani ilikufanya muachane na mpenzi wako uliyempenda sana..

Mimi nakumbuka mpenzi wangu ambaye nilimpenda sanaa..nilijua ndo tutafunga ping za maisha..siku nikawa nimepanga nisafiri kesho yake asubuhi sana , nikaenda kwao kumuaga,..bahati mbaya asubuhi ile nikachelewa basi ,nikaamua kwenda church..nilipotoka nikapitia kwa jamaa yangu tuliyekuwa tutafanya nae biashara.. Kwakuwa nilipazoea Kama kwangu nikaingia bila hodi.. Tobaaa. .! Nitakuta jamaa tupo huu ya Demu wangu.. Dah ikawa mwisho wa mpenzi yetu.. Na mwisho wa kufanya biashara na yule jamaa...japo waliniomba radhi mnoo nilikataa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!

Maumivu uliyopata ni makali sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti napenda sana sex.....
Mwingine eti simpigii simu....
Mwingine ni umbali umesababisha....
Mwingine eti ninachepukaa....
Wengine sababu zinafanana na hizo....

Ingawa sijawahi kujali kuachwa au kuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom