Sababu gani ilikufanya muachane na mpenzi wako uliyempenda sana..

Wote uliowabikiri mangi???
Nilio wabikiri hawajawahi nichukia,
Wengine ni wake za watu sasa...

Zaidi nikikutana nao ni kutabasamu na kuheshimiana.

Hata kama aliniacha kwa makosa yangu, wakikumbuka tuliyopitia husahau makosa na kukumbuka mazuri.....

Ktk sehemu sifanyagi makosa kwa mwanamke ni kitandani aiseee....

Nafikiri hii ndio sababu ya kutonichukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshaachana rshp nyingi sana ila almost zinafanana walio wengi wanakufanya sehemu ya mapato wengine its matter of time tuu pamoja na wengine kunipata kichwan unakuta mwanamke anaongea hadi unachoka sasa
 
Hahahah kitanda wakijulia eeh mangi,kweli ww mangi wa mjini maana wale nduguzo wanashida on da bed,.

Anyway mm waliofuata wote siwachukii na wala tukikutana hatupishani kama hatujuani,sijawahi kuachana na mtu vibaya na huwa sipendi iwe hivyo,kwasababu naamini kuna maisha mengine baada ya kuachana,.lakini kwa aliyenibikiri sikumpenda halafu mwenyewe nilikuwa nimemuwekea mwingine,yeye akaingilia kati daah ndio maana sikutaka hata kugusana nae tena,.

Ila hawa wengine labda waninunie wao,mm siwezi kuwanunia kwasababu mpaka tunavuana chupi hakuna aliye mlazimisha mwenzie,.hakuna kubakana..
 


Hahhahaa

Mimi mangi niliyekulia Shamba na mjini...
Ukinipeleka shamba ni mangi, ukijileta mjini ni mangi....

Mangi wa sasa kaweka hizo mambo pembeni.

Anapambana awe Mangi Kweli.

Hongera kwa kuachana kwa utulivu. Huko ni kukomaa.


Mwanao anaitwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijajaliwa mtoto,.lakini niko kwenye harakati mpaka mwakani inshallah mambo yatakuwa matam,.
 
Najuiliza kwa nn mkigombana na mwanamke suluhu hupelekea kugegedana? Maana imenikuta sana hii
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndiyo dawa yao hiyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…