Sababu gani inafanya watoto wa kishua kujiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya?

Sababu gani inafanya watoto wa kishua kujiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya?

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Habari... wana jukwaa...

Tupate sababu hapo za msingi maana mambo sio poa kwenye Taifa hili lenye watumishi wapigaji.....
 
Kutafuta sehemu ya kutolea stress. Ukiwa na pesa nyingi uhuru zero kuna stress kubwa
 
Sababu ni uwezo wa kununua kila starehe.

Gari lipo,simu ipo,nguo na viatu zipo,psa za kwenda kiwanja chochote zipo,mademu wapo,inabaki swala moja tu,
Kuliwa au kutumia midawa ya kulevya aone inafananaje.
 
Kwahiyo unataka kusema biashara ni lazima uionje😑😑 Maana Wanaouza ni vigogo wanaotumia watoto wa vigogo
 
Kukosa tatizo valid za kutatua, hivyo anakosa ile supply ya dopamine inayopatikanaga mtu, hasa mwanaume anapotatua tatizo au fumbo fulani.

Sasa matokeo ya kuimiss dopamine ndio anatumia madawa ya kulevya.

Nyongeza: Tatizo ambalo linaweza kukupa dopamine ukilitatua ni hasa lile/yale yalowakumba watu unaowajali. Sasa kama wazazi wake walimfundisha kuwa yeye ni wa kujaliwa tu badala ya kujali pia. Na ni wa kufurahishwa tu badala ya kufurahisha pia. Na ni wa kuchangiwa tu(ubwanyenye, umwinyi) badala ya kutumika pia. Basi lazima toto lije liwe frustrated tu hapo baadae.
Ifahamike wazi mi ni mzee wa manadharia tu. Ila soon ntaanza ku make things happen on rhe grand scale💪
 
Back
Top Bottom