Gari lipo,simu ipo,nguo na viatu zipo,psa za kwenda kiwanja chochote zipo,mademu wapo,inabaki swala moja tu,
Kuliwa au kutumia midawa ya kulevya aone inafananaje.
Kukosa tatizo valid za kutatua, hivyo anakosa ile supply ya dopamine inayopatikanaga mtu, hasa mwanaume anapotatua tatizo au fumbo fulani.
Sasa matokeo ya kuimiss dopamine ndio anatumia madawa ya kulevya.
Nyongeza: Tatizo ambalo linaweza kukupa dopamine ukilitatua ni hasa lile/yale yalowakumba watu unaowajali. Sasa kama wazazi wake walimfundisha kuwa yeye ni wa kujaliwa tu badala ya kujali pia. Na ni wa kufurahishwa tu badala ya kufurahisha pia. Na ni wa kuchangiwa tu(ubwanyenye, umwinyi) badala ya kutumika pia. Basi lazima toto lije liwe frustrated tu hapo baadae.
Ifahamike wazi mi ni mzee wa manadharia tu. Ila soon ntaanza ku make things happen on rhe grand scale💪