Chevi_masta Member Joined Sep 13, 2021 Posts 11 Reaction score 15 Nov 13, 2022 #1 Jee ni Sababu ipi inayo kwamisha mchakato wa Mabadiriko ya Katiba Nchini Tanzania,.?[emoji848][emoji848]
Jee ni Sababu ipi inayo kwamisha mchakato wa Mabadiriko ya Katiba Nchini Tanzania,.?[emoji848][emoji848]
Sir robby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,396 Reaction score 4,080 Nov 13, 2022 #2 Chevi_masta said: Jee ni Sababu ipi inayo kwamisha mchakato wa Mabadiriko ya Katiba Nchini Tanzania,.?[emoji848][emoji848]View attachment 2415681 Click to expand... UOGA WA CCM na VIONGOZI WAKE WANAOGOPA MABADILIKO
Chevi_masta said: Jee ni Sababu ipi inayo kwamisha mchakato wa Mabadiriko ya Katiba Nchini Tanzania,.?[emoji848][emoji848]View attachment 2415681 Click to expand... UOGA WA CCM na VIONGOZI WAKE WANAOGOPA MABADILIKO
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Nov 13, 2022 #3 CCM na serikali yake wanaweza kutunga katiba mpya isiyo bora lkn hawawezi kukubali kutengeneza katiba mpya iliyo bora. Kwasabb ccm katiba bora ni sawa na wao kujinolea kisu kikali kitakachowachinja wao wenyewe. Unadhani watakubali??
CCM na serikali yake wanaweza kutunga katiba mpya isiyo bora lkn hawawezi kukubali kutengeneza katiba mpya iliyo bora. Kwasabb ccm katiba bora ni sawa na wao kujinolea kisu kikali kitakachowachinja wao wenyewe. Unadhani watakubali??
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Nov 17, 2022 #4 Chevi_masta said: Jee ni Sababu ipi inayo kwamisha mchakato wa Mabadiriko ya Katiba Nchini Tanzania,.?[emoji848][emoji848]View attachment 2415681 Click to expand... Wezi na mafisadi woote wako Ccm na kamwe hawawezi kuruhusu kitu hicho kitokee.
Chevi_masta said: Jee ni Sababu ipi inayo kwamisha mchakato wa Mabadiriko ya Katiba Nchini Tanzania,.?[emoji848][emoji848]View attachment 2415681 Click to expand... Wezi na mafisadi woote wako Ccm na kamwe hawawezi kuruhusu kitu hicho kitokee.
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Nov 17, 2022 #5 Sir robby said: UOGA WA CCM na VIONGOZI WAKE WANAOGOPA MABADILIKO Click to expand... Japo wameshachuma sana hii nchi lakini hawako tayari kuachia
Sir robby said: UOGA WA CCM na VIONGOZI WAKE WANAOGOPA MABADILIKO Click to expand... Japo wameshachuma sana hii nchi lakini hawako tayari kuachia