Sababu gani inakwamisha mchakato wa Katiba Mpya nchini?

Sababu gani inakwamisha mchakato wa Katiba Mpya nchini?

Chevi_masta

Member
Joined
Sep 13, 2021
Posts
11
Reaction score
15
Jee ni Sababu ipi inayo kwamisha mchakato wa Mabadiriko ya Katiba Nchini Tanzania,.?[emoji848][emoji848]
warioba-px.jpg
 
CCM na serikali yake wanaweza kutunga katiba mpya isiyo bora lkn hawawezi kukubali kutengeneza katiba mpya iliyo bora.

Kwasabb ccm katiba bora ni sawa na wao kujinolea kisu kikali kitakachowachinja wao wenyewe. Unadhani watakubali??
 
Back
Top Bottom