Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Hahaaaa!! Sasa kama hii kesi haikuhusu wewe je wakati huyo bwashee akihangaika na my darling wake huko chumbani na ww ulikuwepo au ilikuwaje mpaka ukayajua hayo yote???

mtaani kwetu mi ni mshauri wa wadada... khakhaa..tuna chama chetu cha kitaa ila usiseme kama nawaibia siri but sometime majibu mengi natoa humu siunajua penye wengi rafiki nawe!!!
 
i see...mpaka mwanaume achubuke..she must have ''msasa like viginal walls''

may be...! pia yawezekana K ni ndogo na dudu ni kubwa so katika sokomeza kwa nguvu bila kilainishi ikazua hilo japo wembamba wa reli treni inapita but bila kilainishi kungekuwa na majeraha na karaha!
 
marahaba, mwambie jamaa asiwe na tabia za kibakaji, lile tendo linahitaji utulivu wa akili zaidi, ikiwa vipi atafute kilainishi...
pia nitafute mahondaw....

utanipa kilainishi nimpelekee mdada mwenzangu anusuru mahusiano yake??
 
Last edited by a moderator:
Km alikuwa anataka huo mlainiko si anyonye k tu yaani hata km hana mood ya ku do ukinyonya kimisi taaratib hata dk 3 hazitaisha unaingza dushe.Nyonya at ur own risk

alaa kumbe! !!!!! heee basi jioni ntamshauri then asubuhi nsubirie mrejesho nkiona watu wanaamka wakitabasabu baaaaasi
 
labda kama hana tatizo lingine wewe mwanamke kama hakufeel bwana kazi sana kutoa maji... tena kama mimi ndiyo kunageuka jangwa

eti mdada alikua kama kapararaizi hakusikia feelings hata chembe alikua anajifosi tu mana bwashee misuli yote ilikuwa nusura ichomoke
 
Aiseeee.......sasa kuna grease nyingi tu mtaani kwa ajili ya mashine

Kuna BP Oil ...Kuna statoil na Zingine
 
Back
Top Bottom