Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

kula kula vyakula vikavu kama chips,kaukau kupendelea mabaites mara kwa mara inaweza ikawa inachangia(nilishawahi soma kene blog flan ilielezea tatzo ili)
 
Kuna na ukweli hapa tusiikwepe mwanamke wa kawaida akifanya tendo hawezi kutoa majimaji mpaka masaa kadhaa yapite ila wapo wengine majimaji kwao kawaida hata dakika tano baada ya tendo.
 
mfano mwingine tuseme huo bidada ni muumini mzuri wa dhehebu flani ambapo kila siku wanalishwa maneno yanoipinga zinaa kila siku utadhani hakuna dhambi nyingine! wakati unamuandaa yeye mawazoni anakuona unafungulia mlango wa moto wa milele na anaona dumu la petrol na gasi ya oryx hiyoooo,.......hepu mpe wine kidogo au castle rite uone k itakavyolainika wewe!
 
wewe kama umekonyozwa mara zaidi ya mbili nakwambia huwezi kubali kugegedwa labda kama kule aligusa gusa tu

sawa ila maji hayakauki sana jamani hata tutone tone tu mhm!! mkaka wa watu alijitahidi kumwandaa mwee ikawa kazi bure na si kweli Kwamba mdada alitoka kuduu..
 
Ijumaa kareem wana MMU,

Hivi nisababu gani inaeza sababisha mwanamke asitoe yale maji maji ( lubricants) yanayosababisha dudu liingie vizuri na kiulani pangoni bila kuumizana? Ni hivi kuna mdada mmoja majuzi kapigwa exile na mchumba wake mpaka aseme ametoka pigwa mtungo na nani. Ilikuwa usiku muda uleeeeee wa mambo yetu yale sasa.

Kukurukakara za hapa na pale za kutaka kupandishana na kushushana. Wakafanya romansi weee mpaka bwashee alipofikia muda wa kutaka kuzamisha kitu kulee bwana papuchi ikatema kile kilainishi kiduchu sana kiasi kwamba kilikua kwa pale ju juu tu yule bwashee alipozamisha mashine ikachubuka weee!

We mwanamke sema umetoka fanya na Nani leo mana haiwezekani kila siku tunafanya leo tu iwe hivi..! Cheki sasa umenichubua. Mke akajitetea tetea hapo but mme kachachamaa eti mke aseme katoka gongwa na nani ilihali wanaishi pamoja na hata yeye mke kachubuka mana ilipoingizwa kulikua kukavu kidizaini.

Basi usiku ukawa mrefu hapo mbinde mbinde uende hukohuko ulikofanywa mpaka saivi akili yako ishindwe kuniwaza mimi imuwaze huyo hadi umenichubua.Maskini bidada wa watu ni kulia tu mana hata yeye haelewi kwanini na wanaishi pamoja na walikua wote since morning iweje yamkute hayo.

Ndio nauliza hapa; Je, nini kinaweza kuwa sababu ya kutotoa yale majimaji?

Mahondaw huyu ni wewe bwana, sidhani kama kuna mtu kakusimulia hili kirahisi hivi
 
Me hiyo avatar yako tu mumiee, me hoi,, Back to the topic Inawezekana bibie akili yake haikuwa kwenye gemu kabisa hilo ndo kubwa ninalodhani limesababisha yote hayo!!
 
Unavyoelezea utazani ulikuwa unashuhudia au unakula chabo,tupia picha km ulishuudia .

mass com rafiki siunajua tena sometmes lazima utumie lugha ya kishankupe
 
mfano mwingine tuseme huo bidada ni muumini mzuri wa dhehebu flani ambapo kila siku wanalishwa maneno yanoipinga zinaa kila siku utadhani hakuna dhambi nyingine! wakati unamuandaa yeye mawazoni anakuona unafungulia mlango wa moto wa milele na anaona dumu la petrol na gasi ya oryx hiyoooo,.......hepu mpe wine kidogo au castle rite uone k itakavyolainika wewe!

khakhaa angeenda somea usista atii may be alishavurugwa si bure
 
Kuna na ukweli hapa tusiikwepe mwanamke wa kawaida akifanya tendo hawezi kutoa majimaji mpaka masaa kadhaa yapite ila wapo wengine majimaji kwao kawaida hata dakika tano baada ya tendo.

yeah hata muda mwingine katikati ya gemu kisima kinakauka so akili ya ziada hufanya kazi ili mchezo mtamu uendelee!
 
kula kula vyakula vikavu kama chips,kaukau kupendelea mabaites mara kwa mara inaweza ikawa inachangia(nilishawahi soma kene blog flan ilielezea tatzo ili)

asante nimeongeza kitu kipya leo..
 
Me hiyo avatar yako tu mumiee, me hoi,, Back to the topic Inawezekana bibie akili yake haikuwa kwenye gemu kabisa hilo ndo kubwa ninalodhani limesababisha yote hayo!!

teh ichukue uiweke plofile picha basi haha kidding lol...yah kutakuwa na problemee somewhere haiwezekani idara ya maji ikate gafla na hakuna deni lolote!
 
khakhakhaaaaaaaaaa haloooooooooooooooooo!! hapana si kesi na si mimi banah!

Pls tuwekee picha ya papuchi yenye lubricant na ingine ambayo haina ndiyo itakuwa rahisi wengi kuchangia
 
Back
Top Bottom