Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Sasa kama unashika kis.....i kama unatafuta stesheni ya Radio Iran.idhaa ya kiswahili afanyaje??
 
Kwa vyovyote vile hapa kugegedwa kunahusika! Zile sababu zingine za ki-saikolojia zinaweza kuchangia lkn akiguswa sehemu yake maalum ute utatoka tu! Mara nyingi mwanamke akitoka kugegedwa tena nje ya ndoa,mwenye akili hakupi kabisaa! Atasingizia kuchoka,kuumwa nk! Ukimlazimisha lazima mchubuane,kwa sababu hamu anakuwa hana tena,isitoshe huenda kule anajiachia sana kuliko kwa mumewe kwenye style ileile. Wachepukaji wanajiachia sana kuonyesha tofauti,wanafumuana marinda hata bafuni.

mmmmmmmhhhhhhhmmmmmmmmmmhhhhh!!!!!!!!!!!""
 
Sasa kama unashika kis.....i kama unatafuta stesheni ya Radio Iran.idhaa ya kiswahili afanyaje??

kifasihi zaidi!! sema directly bana mwenzio slow learner a.k.a kilaza wa mwisho
 
Kwa vyovyote vile hapa kugegedwa kunahusika! Zile sababu zingine za ki-saikolojia zinaweza kuchangia lkn akiguswa sehemu yake maalum ute utatoka tu! Mara nyingi mwanamke akitoka kugegedwa tena nje ya ndoa,mwenye akili hakupi kabisaa! Atasingizia kuchoka,kuumwa nk! Ukimlazimisha lazima mchubuane,kwa sababu hamu anakuwa hana tena,isitoshe huenda kule anajiachia sana kuliko kwa mumewe kwenye style ileile. Wachepukaji wanajiachia sana kuonyesha tofauti,wanafumuana marinda hata bafuni.

kwahiyo alitoka gegedwa sio???? mmhhmh may be mana mi sijui
 
mahondaw kwa kuwatatulia visa marafiki zake... Hvi hakuna kinachokuhusu kweli kat ya visa vya marafiki wote? Maana usije ukwa n ww papuchi haitoi water water... Teh teh teh

we mgiriki mi kitaa ni kiongozi afu mwezi huu sijalipa bili ya maji alaaa!
 
Last edited by a moderator:
Duh! Umeandika 'kigumu' kama kidume flani hivi......inshort ni kwamba ile fluid inakuja pale bidada anapokuwa in a moody! Ule mchezo uko more psychological kuliko physical, yaelekea wakati bwashee akiwa anahangaika kutafuta 'spot' za kumlegeza mwanamke, yeye bidada alikuwa anawaza kazini kwake au mikopo vikoba huo au mambo mengine mazito kadhaa!

Pia inategemea na mazingira, labda wakato huo huyo dada hakuwa comfortable! Mathalani kama walikuwa seheme kuna feni au A/c kali sana inakuwa ngumu kidogo kwa bidada kupata ute! Pia yaweza kuwa amepata infections so anaweza kwenda kuwahi check up hospital!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Jibu sahihi kabisa. Mood ni kitu muhimu cha kuangalia. Ndio maana mi nikijua mood ipo kivingine huwa nampa taadhari shemeji yenu.
 
Back
Top Bottom