Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

we kuna wanaume bwana wanaipiga mpaka unakataaa .. kama ni kiu ya maji imekata

si unaomba poo upumzike au unamwambia bwana wee maji yamekatika naomba tukalipe bili kwanza bana cha kuota sugu yanini!! ukijifanya utahimili unayeumia ni wewe Ke!
 
kwahiyo alitoka gegedwa sio???? mmhhmh may be mana mi sijui
yaani km hili tukio ni ww ndo mhusika mahondaw ukweli unaujua kwamba ulitoka kubanduliwa! Mwanamke km hajagegedwa,ile kitu yetu hata ikimgusa kwenye penye paja tu,pichu lazima iloe! Hapa nna uhakika ulitoka au alitoka kugegedwa.
 
Last edited by a moderator:
kabisa yani ukiona hutamani
mtu amegegedwa style za kufa mtu,we unakuja na mbinu yako ileile,ute hautoki hata ungemwagia na maji! Ukweli huyo alitoka kupigwa nje ya ndoa. Siyo jambo la kutisha lkn siku hizi.
 
yaani km hili tukio ni ww ndo mhusika mahondaw ukweli unaujua kwamba ulitoka kubanduliwa! Mwanamke km hajagegedwa,ile kitu yetu hata ikimgusa kwenye penye paja tu,pichu lazima iloe! Hapa nna uhakika ulitoka au alitoka kugegedwa.

sio mimi eeeeeeee sio mimi eeee ( singing) !! and wat if ni mie na sikutoka tiwa ila ndoivo dawasco imekata !!!
 
Last edited by a moderator:
mtu amegegedwa style za kufa mtu,we unakuja na mbinu yako ileile,ute hautoki hata ungemwagia na maji! Ukweli huyo alitoka kupigwa nje ya ndoa. Siyo jambo la kutisha lkn siku hizi.
magode unataka kusema kwanba ukiendaga nje ukapewa za kimabreka ndo kushey hapo mkeo baaaaass hapati??!
 
Last edited by a moderator:
Sio kila siku papuchi unalainika. Kuna zile siku ambazo mwanamke anakuwa kwenye heat papu inakuwa laini na liquid inatoka kwa wingi na ya kutosha kabisa, hizi ni siku ambazo anajisikia haswaaa kushughulikiwa ( kwa mbwa au ng'ombe ndizo siku za kupiga kelele kutaka kupandishwa) . siku zingine liquid inakuwa kidogo sana hata kama ataandaliwa ipasavyo hapo ni lazima umsaidie kwa vilainishi vingine wengine hutumia hata mate (teh teh teh).

Ila kwa wale wenye mabwawa... unaweza usijue lini kuna liquid na lini imepungua... na hawa hujisikia kufanywa mara kwa mara.

Aisee umetiririka vizuri...unajua kuvaa uhusika #happiness win
 
Kwa vyovyote vile hapa kugegedwa kunahusika! Zile sababu zingine za ki-saikolojia zinaweza kuchangia lkn akiguswa sehemu yake maalum ute utatoka tu! Mara nyingi mwanamke akitoka kugegedwa tena nje ya ndoa,mwenye akili hakupi kabisaa! Atasingizia kuchoka,kuumwa nk! Ukimlazimisha lazima mchubuane,kwa sababu hamu anakuwa hana tena,isitoshe huenda kule anajiachia sana kuliko kwa mumewe kwenye style ileile. Wachepukaji wanajiachia sana kuonyesha tofauti,wanafumuana marinda hata bafuni.

ha haa haaa, nimecheka hadi machozi aisee.. iko vizur mkuu
 
Duh! Umeandika 'kigumu' kama kidume flani hivi......inshort ni kwamba ile fluid inakuja pale bidada anapokuwa in a moody! Ule mchezo uko more psychological kuliko physical, yaelekea wakati bwashee akiwa anahangaika kutafuta 'spot' za kumlegeza mwanamke, yeye bidada alikuwa anawaza kazini kwake au mikopo vikoba huo au mambo mengine mazito kadhaa!

Pia inategemea na mazingira, labda wakato huo huyo dada hakuwa comfortable! Mathalani kama walikuwa seheme kuna feni au A/c kali sana inakuwa ngumu kidogo kwa bidada kupata ute! Pia yaweza kuwa amepata infections so anaweza kwenda kuwahi check up hospital!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Napenda Sana Watu Kama Nyie. Uko Vizuri Mkuu Na Sisi Wapiganaji Tumekupata Barabara Na Asante Kwa Kutuelimisha Na Sasa No More MCHUBUANO.
 
Back
Top Bottom