Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Sio kila siku papuchi unalainika. Kuna zile siku ambazo mwanamke anakuwa kwenye heat papu inakuwa laini na liquid inatoka kwa wingi na ya kutosha kabisa, hizi ni siku ambazo anajisikia haswaaa kushughulikiwa ( kwa mbwa au ng'ombe ndizo siku za kupiga kelele kutaka kupandishwa) . siku zingine liquid inakuwa kidogo sana hata kama ataandaliwa ipasavyo hapo ni lazima umsaidie kwa vilainishi vingine wengine hutumia hata mate (teh teh teh).

Ila kwa wale wenye mabwawa... unaweza usijue lini kuna liquid na lini imepungua... na hawa hujisikia kufanywa mara kwa mara.

Mimi Nina Bahati Mbaya Kweli Wote Ninaowapata Lazima Nilazimike Tu Kutumia MIMATE Yangu Kulainisha Kwani Huwa Napata "K" Kavu Nyingi.
 
may be...! pia yawezekana K ni ndogo na dudu ni kubwa so katika sokomeza kwa nguvu bila kilainishi ikazua hilo japo wembamba wa reli treni inapita but bila kilainishi kungekuwa na majeraha na karaha!

Kwa Hiyo Tulio Na MITALIMBO MIKUBWA ( Duduz ) Ndiyo Mnatubagua Kijanja au? Hivi Si Ndiyo Nyie Huwa Mnapenda MITALIMBO Mikubwa au?
 
sawa ila maji hayakauki sana jamani hata tutone tone tu mhm!! mkaka wa watu alijitahidi kumwandaa mwee ikawa kazi bure na si kweli Kwamba mdada alitoka kuduu..

Mimi Nahisi Ni Kama Vile Hapa UNAJIWAKILISHA Wewe Mwenyewe ILA Unatuzuga Tu Kiaina Kwa Kusingizia Mashori Wengine. Usione Soo Funguka!
 
Hii husababishwa na sugu kwenye uke. Mwambie asiwe anafanywa kila siku. Huu ni utafiti bila refernce

Basi Aende Mbeya Akatolewe! " Huu Ni Utafiti Bila Reference " Nimeipenda Hii Mkuu Na Kama Hutojali Reference Yetu Sasa Itakuwa Ni Wewe.
 
Mimi Nina Bahati Mbaya Kweli Wote Ninaowapata Lazima Nilazimike Tu Kutumia MIMATE Yangu Kulainisha Kwani Huwa Napata "K" Kavu Nyingi.

pole sana ukiwaandaa vyakutosha kisaikolojia..ile kitu huja automatic
 
Kumbe kuna watu wanataabika na jambo hilo kihivyo! Du, hadi dushe kuchubuka....ni sheeda. Watu wangu wamekosa maarifa kweli.

tehteh huwezi jua labda alikua na miadi kwingine so angeulizwa nawe kulikoni!!!!
 
Back
Top Bottom