Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Sababu gani inasababisha mwanamke asitoe majimaji (Lubricants) wakati wa tendo la ndoa?

Ijumaa kareem wana MMU,

Hivi nisababu gani inaeza sababisha mwanamke asitoe yale maji maji ( lubricants) yanayosababisha dudu liingie vizuri na kiulani pangoni bila kuumizana? Ni hivi kuna mdada mmoja majuzi kapigwa exile na mchumba wake mpaka aseme ametoka pigwa mtungo na nani. Ilikuwa usiku muda uleeeeee wa mambo yetu yale sasa.

Kukurukakara za hapa na pale za kutaka kupandishana na kushushana. Wakafanya romansi weee mpaka bwashee alipofikia muda wa kutaka kuzamisha kitu kulee bwana papuchi ikatema kile kilainishi kiduchu sana kiasi kwamba kilikua kwa pale ju juu tu yule bwashee alipozamisha mashine ikachubuka weee!

We mwanamke sema umetoka fanya na Nani leo mana haiwezekani kila siku tunafanya leo tu iwe hivi..! Cheki sasa umenichubua. Mke akajitetea tetea hapo but mme kachachamaa eti mke aseme katoka gongwa na nani ilihali wanaishi pamoja na hata yeye mke kachubuka mana ilipoingizwa kulikua kukavu kidizaini.

Basi usiku ukawa mrefu hapo mbinde mbinde uende hukohuko ulikofanywa mpaka saivi akili yako ishindwe kuniwaza mimi imuwaze huyo hadi umenichubua.Maskini bidada wa watu ni kulia tu mana hata yeye haelewi kwanini na wanaishi pamoja na walikua wote since morning iweje yamkute hayo.

Ndio nauliza hapa; Je, nini kinaweza kuwa sababu ya kutotoa yale majimaji?

Na wasiwasi na umri wako mkuu! Hadi leo unapiga CHABO?
 
For a woman to ooze lubricant, she must be well prepared. Caresing, soft touching, fondling, kissing and massaging will make it

If all efforts fail, seek medical advice
 
hakuandaliwa
hakuwa tayari
alichoka
alikuwa na hofu
hakujihisi salama
alikuwa na stress
alikuwa na matatizo ya kifamilia


Au HAKUTAKA TU KWANI LAZIMA?
 
labda kama hana tatizo lingine wewe mwanamke kama hakufeel bwana kazi sana kutoa maji... tena kama mimi ndiyo kunageuka jangwa
Nyie nae vilaza kweli sasa mwanaume humfeel unampaje k. Yako...tuwape maboro yetu basi na nyie muwe na hisia za karibu kama sisi
 
uyo mwanaume nae? kwani kila siku ni ijumaaa huo mwili wa binadamu unachange every seconds
 
KY jelly zilitengenezwa kwaajili ya watu wenye matatizo hayo kwahyo ni option kama unaandaliwa na utokwi na majimaji
 
Back
Top Bottom