Sababu Gani Wakenya Huja Huku JamiiForums?

Kenya na Tanzania ni nchi moja..Mna wajaluo tuna wajaluo..MNA wamasai tuna wamasai.MNA wakurya tuna wakurya..MNA wazigua tuna wazigua.MNA wakikuyu tuna wachaga..MNA waswahili tuna waswahili..mwala ugali twala ugali..kwangu Mimi Kenya na Tanzania ni kama USA na Canada...Kenya na Tanzania ni nchi moja..hata mzee jomo jina lake Kenyatta maana yake ni Kenya na Tanzania
 
Na kwa utafiti niliofanya nimegundua kwamba wakenya na watz wanaona sana kuliko Waganda na pia, kuna watu wengi sana ambao mzazi mmoja anatka nchi mojawapo ya hizi nchi Mbili.
 
hehe at kenyatt NI kenya tanzania
 
Mimi mle nilishindwa kabisa baana. Yani ati David Kobia alishindwa tu kabisa kumoderate hiyo website akaiacha tu ikaishia hivo. Mimi first time kuivisit ilikuwa ile wakati Tom Cholomodley alimkill sijuii yule ranger, nikacheki vile hao wazungu wazung na wafrika wanatukanana. Wazungu walianzisha thread inaitwa Justice for Tom. Ilikuwa balaa.
Halafu baadaye nikacheki vile watu wanatukanana hapo juu ya tribalism, sikuwahi join hiyo site.
 
Such things are the ones that killed the forum
 
Mengine yoote safi
Unakosea kutuhangaisha,
Unatuhangaisha vipi
 
La, mila ya wajaluo (wa Kenya) haihusishi kutahiri

dude does it have to be cultural? what of just personal medical reasons? In this age and era, you can't just throw a blanket conclusion that Luos don't undergo circumcision. Did you know that there are some christian sub-sects in the Luo community where circumcision is done at infant stage as per the Abrahamic law?(i bet you didn't know). All in all I didn't expect you to think this way at least judging from your sober comments on this forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…