Kabla hatujaendelea , Is he Black or White .?
How about GEORGE Opong wear!Kabla hatujaendelea , Is he Black or White .?
Sababu hakuwahi pata Mafanikio... i mean Makombe Makubwa na Pia kulikuwa na Wakali wengi Sana...Wakuu karibuni tujadili sababu zilizomfanya fundi wa soka toka Nigeria na Africa kwa ujumla, Austin Jay JAy Okocha kushindwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia enzi zake akisakata kabumbu licha ya uwezo na kipaji maridhawa cha hali ya juu alichokuwa nacho.
Wakuu karibuni tujadili sababu zilizomfanya fundi wa soka toka Nigeria na Africa kwa ujumla, Austin Jay JAy Okocha kushindwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia enzi zake akisakata kabumbu licha ya uwezo na kipaji maridhawa cha hali ya juu alichokuwa nacho.
Ina maana xavi,iniesta,Modric,Marcelo nk siyo mafundiKaka naona unababaishwa na Ronaldo Xtian na Messi kuwa wanapokezana, ukweli ni kuwa kwa sasa hakuna mafundi wa soka Duniani, wako wachache sana na ndio kisa cha hawa wawili kupokezana,
Hebu kumbuka wakati Ronaldo de Lima, Rivaldo, Carlos, Mtume Gaucho, Decco, Figo, Zidane, Okocha, Chev nk hapo ilikuwa ni shughuli pevu kumchagua best player
Mkuu unataka kuniambia suarezi,neymar, aguero , Diego Costa, lewandosk , n.k hawajui?? Wachezaji wanaofunga 20+ goals per season unawasahau mkuu....Kaka naona unababaishwa na Ronaldo Xtian na Messi kuwa wanapokezana, ukweli ni kuwa kwa sasa hakuna mafundi wa soka Duniani, wako wachache sana na ndio kisa cha hawa wawili kupokezana,
Hebu kumbuka wakati Ronaldo de Lima, Rivaldo, Carlos, Mtume Gaucho, Decco, Figo, Zidane, Okocha, Chev nk hapo ilikuwa ni shughuli pevu kumchagua best player