[emoji23][emoji23][emoji23]Na wabongo hawashindwi.
Kuna jamaa walikua wanahadithia namna ambavyo wana vyumba vya siri wamepangisha kwa miaka kadhaa bila familia zao kukua niliishiwa nguvu.
Mmoja anakwambia ana gheto mahali ni zaidi ya miaka sita na ana mwanamke anaishi huko na watu wa mtaani wanamjua kama mkazi wa pale huku ana familia mahali pengine amejenga kabisa.
Sasa kuna mwamba mmoja anasema kila nguo huwa ina pacha wake, hata akienda huko sehemu B ataoga na kubadlisha ila home kwake atarudi na nguo nyingine bila mke wake kujua kama jamaa alikoenda amebadili kwakua atavaa za aina ileile [emoji119][emoji119][emoji119]
Sasa hii ya uraia pacha ndo itakuwa nyepesi mnooo!!!