LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Hata hivyo, miongoni mwa wabantu wapo baadhi ya wabantu ambao wamefanikiwa ku walk out of this curse. Mfano wachagga, wakinga etc.
Ila wengi wa wabantu hawawezi kabisa kufanikiwa kwenye biashara.
Sababu kuu ni hii hapa chini:
Wabantu wanapokuwa wanafanya biashara huwa wanashindwa kujitenganisha wao Binafsi na biashara zao.
Niki iweka kwenye kiingereza unaweza kunielewa vizuri zaidi
Bantu people can not differentiate between their business and themselves. They think their business is themselves.
How is this a problem?
Mbantu akiwa ana uza kitu kinacho hitajika sokoni, wateja mnapo gombania kukinunua, yeye mbantu huwa anadhani hiyo attention mnayo kipa kitu anacho kiuza ni kwamba mnampa attention hiyo yeye. Anashindwa kuelewa kwamba kinacho hitajika hapo ni bidhaa anayo iuza na sio yeye.
Matokeo yake ataanza kuringa na kuleta mapozi na mwisho wa siku biashara itakufa kifo cha asili. Biashara ikishakufa sasa ndio anaanza kukumbuka customer care, anaanza kuwatafuta wateja.
Asicho kijua mbantu huyu ni kwamba hao hao wateja anao anza kuwatafuta sasa hivi ni wabantu pia kama yeye na wana akili kama za kwake, so anapo Anza kuwatafuta awauzie bidhaa yake nao wanaona hiyo attention anawapa wao na sio hela zao nao wanaanza kumletea mapozi..
Kwanini wabantu wanakuwa na mentality mbovu kiasi hiki?
Kwa sababu kiujumla wake, wabantu huwa hawapati attention ya watu katika maisha yao ya kila siku. Hii ni kwa sababu tunaishi katika ardhi ya wabantu na katika ardhi yetu sisi ndio wengi kuliko mbari nyingine. So we have nothing to give attention about.
Mtaani kwenu, ofisini kwenu, shuleni kwenu etc akihamia demu wa kinyarwanda au kisomali (ambao sio wabantu) atapata attention kubwa mara ishirini ya wanayo ipata dada zetu wa kibongo. Na hii ni kwa sababu huyo demu wankinyarwanda au kisomali anakuwa ana stand out of the crowd so she will naturally attract an attention.
Kwa kawaida binadamu ni kiumbe anae penda attention kwa gharama yoyote ile. Akiikosa katika eneo moja basi atajaribu kufill the gape kwenye eneo jingine ili ku satisfy his ego.
So huyu mtu ambae hapati a natural attention on a personal level, siku akiwekwa kwenye eneo ambao lina attract attention basi ataringa hatari ili kufidia kile ambacho nafsi yake imekikosa kwenye maisha yake halisi.
Hebu chukulia mfano huu rahisi wa watu wanao wapondaga single mothers na wanawake wenye umri mrefu.
Wengi wao husema " Nyie single mothers mlipokuwa na miaka 19/20 tulikuwa tunataka tuwa oe mkawa mnaringa. Now mna miaka 28 ma watoto juu ndo mnataka tuwaoe ! No! sisi tunataka wasichana wadogo nyie mshazeeka now hatutaki ndoa na nyinyi"
Ni wazi kabisa maelezo hapo juu yanatoka kwenye akili ya mwanaume wa kibantu ambae huwa hapati attention ya kutosha on personal level.
Huyu dada wa miaka 28 anapokuwa anaku Persue umuoe, wewe mwanaume wa kibantu unadhani anakupa attention wewe kama wewe personally kumbe huyu mwanamke ana ku Persue kwa sababu maisha yake kwa sasa yanahitaji mtu kama wewe na sio kwa sababu ya anything personal about you... utaanza kumringia na kumuwekea mapozi mwisho atahamishia attention kwa mtu mwingine ambae atampa ndoa then utaanza kusema don't marry a single mother, kataa ndoa blah blah blah.
Mfano mwingine ni tabia za makonda wa daladala za mjini Daslamu nyakati za jioni ambapo abiria ni wengi kuliko magari.
Konda huyo huyo mchana wakati hakuna abiria alikuwa anasumbua kuita watu balaa ila now abiria wapo wengi then yeye na dereva wake wanaanza mashauzi, mara wanasema gari haipakii mara hivi mara vile blah blah blah..Yote ni kwa sababu ya hiyo mentality ya kibantu.
Kuna kisa cha mpemba mmoja Kariakoo ana restaurant yake karibu na Big Bon jirani na hotel moja maarufu kama hotel ya wa Comoro.
Huyu mpemba kwa sababu ya huduma yake na customer care basi watu huwa wanajaa sana
Alimpa nafasi dogo mmoja awe ana uza juisi ya miwa kwa wateja wake. Sasa dogo ni mbantu na hakuzoea hiyo attention ya wateja wengi kihivyo. Aisee si akaanza mashauzi. Unataka juisi ya moto mara aseme juisi ya moto leo sitengenezi nenda sehemu nyingine mara hivi mara vile mwisho wa siku wateja wakaanza kulalamika kwa mpemba na hatimae mpemba akampa nafasi hiyo mpemba mwenzake. Customer care yao sio ya dunia hii na wateja ni wengi kweli kweli.
Dogo katoka hapo kwa mpemba kahamishia mashine yake ya juisi mtaa wa Pili sasa akili zikemkaa ukipita unaombwa kununua juisi kawa kama machinga wa Big Brother urafiki.
Nimeandika Uzi huu kwa sababu jana nimekutana na kitu kama hiki.
Mwezi mmoja ulio pita nilienda kula chakula kwenye mgahawa( fremu) ambao upo karibu na shule 2 za sekondari kata mbili za Msingi kata.
Siku hiyo nikakuta huduma imefungwa nikamuuliza mdada mmoja jirani na fremu vipi huyu mtu leo hajafungua, akanijibu hapana alisha ondoka hapa kwa sababu alishindwa kodi. Baadae nikajua huyo mdada ni mke wa mmiliki.
Nikamuuliza so naweza kupanga? Akaniambia unaweza akanitajia na bei. Kwa bei ilivyo kuwa reasonable nilikuwa tayari kulipa muda huo huo.
Dada akaniambia upite juma3 mume wangu atakuwa amerudi. Nikasema poa nikaomba na namba za simu. ( ilikuwa ijumaa)
Asubuhi jumatatu napiga simu nipo njiani mtu hapokei, natuma meseji kwamba Mimi ndo yule ambae tumeongea kuhusu fremu nakuja, kimya.
Baadae nikaenda nikamuuliza vipi mumeo.ameshakuja. Jibu bado.
Je siwezi kuilipia kabisa sasa hivi halafu akija ndo tutaandikishiana mkataba? Jibu hapana mpaka yeye awepo.
Basi nilipie nusu ili niishike fremu, jibu ni lile lile kwamba hadi mume wake aje na kwamba anakuja baada ya siku 3.
Baada ya siku 3 kwenda, bado jamaa hajarudi. Basi hali iliendelea hivyo kwa kama mara 4 hivi hadi nika give up. Wiki moja baada ya kukaa kimya jana kaniona napita akaniambia shemeji ulisema unataka kuingia lini? Nikamuuliza mumeo amesharudi? Akasema bado ila unaweza kuingia tu.
Kwa hiyo wiki moja tayari nilikuwa nimeshaitoa hiyo fremu kwenye mipango yangu ya uwekezaji.
Nikamjibu "Duh ile hela tayari nilisha itumia kwenye mambo mengine. Nimekaa nayo nasubiri mumeo aje hadi nimechoka nimeitumia kwingine"
Naona dada wa watu akawa kama kamwagiwa maji vile anasema ana shida na hela. Nikajisemea duh huyu kweli mbantu yani muda wote huo wakati nafuatilia fremu alikuwa anajua namfuatilia yeye. Ngambaff zake. She was just enjoying my attention.