Sababu halisi za Simba kugomea mechi ni hizi hapa.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
1. Kamati ya ufundi kutoka Kahana kuzuiwa kwenda kufanya kazi yake kiwanjani.
2. Kipa Kamara na Che Malone Kukosekana kwenye mechi kubwa kama Ile.
3. Aziz Ki kumbe hakuwa mgonjwa, atakuwepo.
4. Mechi kuchezwa telarehe 8 siku ya jumamosi.

Sababu nyingine zooote hizo ni uongo na visingizio TU, na kikamuni kukosa kufanya mazoezi ya mwisho adhabu yake sio kuahirisha mchezo.
 
Uto mnaamini sana ushirikina. Na cha ajabu jana mpo wenyewe uwanjani na bado mkaruka ukuta. Mnaogopa manyoka mnayoyafuga wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…