Sababu hasa ya maandamano ya "mwaka huu" ni maisha magumu na ufisadi

Sababu hasa ya maandamano ya "mwaka huu" ni maisha magumu na ufisadi

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
2,188
Reaction score
4,116
Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa kawaida wakiishi maisha magumu. Waliona anasa hizo kama ishara ya ufisadi.

Zamani wanepali wengi walienda kufanya kazi nje ya nchi na kutuma pesa nyumbani. Wakati na baada ya Corona ikawa vigumu kwenda kwa watu. Ugumu wa maisha na umasikini vikazidi. Ile kufungiwa mitandao na maandamano kulipuka ilikuwa ni njiti tu iliyowasha moto mkubwa.

Maandamano kama hayo ya Gen-z yametokea Indonesia, Ufilipino, Madagascar na sasa hapa kwetu. Sababu kubwa ni ufisadi na maisha magumu(Yaani uchumi mbaya wa watu). Sababu zingine(japo ni muhimu), zinakuwa ni njiti tu za kuwashia fuels zilizojirundika kwa muda mrefu. Ili kitu kama hiki kisijirudie inatakiwa tupambane kwa njia zote kuhakikisha uchumi wa watu unakua, ajira zinatengenezwa na ufisadi unashughulikiwa kwa dhati.

Mungu awarehemu marehemu waliokufa kwenye janga hili.
 
CCM miaka yote huwa wanaiba kura.
Nikweli kabisa maandamao yamechochewa na ufisadi wa watawala, majibu ya dharau na kejeli kutoka kwa watawala, huduma duni za kijamii na zinazidi kudorora kila siku. Mauwaji, kutekwa, kupotea na kukosa uhuru wa kujieleza.
 
JAMBO LILILONITISHA NI KWAMBA SASA UGAIDI UMEANZA RASMI.

NIMESIKILIZA MIJADALA MBALIMBALI KWENYE CLUB HOUSE NA MARIA SPACES NA KUJIRIDHISHA KUWA MAANDAMANO YALIRATIBIWA KWA UMAKINI MKUBWA.
NA SASA HAO WAANDAMANAJI WAMEAZIMIA KUANZA MASHAMBULIZI YA KIMYA KIMYA DHIDI YA VIONGOZI WA CCM WA NGAZI ZOTE, WABUNGE, MADIWANI, VIONGOZI WA SERIKALI KAMA VILE WAKUU WA MIKOA, WILAYA NA WATENDAJI WA MITAA, VIJIJI NA KATA.

WANASEMA MAUAJI HAYO YATAWAHUSU PIA NDUGU, WATOTO NA FAMILIA ZA HAO VIONGOZI WALIOTAJWA.

PIA POLISI WA AINA YOYOTE AKIZUBAA MAHALI POPOTE ANASUGHULIKIWA KWA MISHALE YENYE SUMU KALI (SULPHURIC ACID)

KUTAKUWA PIA KUNAKULIPUA MAJENGO YA SERIKALI NA MIUNDOMBINU YA BIASHARA YA WATU WOTE WENYE UHUSIANO NA CCM AU SERIKALI.

NAAAMINI SISI CCM HATUWEZI KUJILINDA NA HATA VYOMBO VYA DOLA HAVINAUWEZO WA KULINDA MAENEO YOTE HAYO.

NASHAURI VIONGOZI WA CHAMA CHANGU NA SERIKALI YAKE WAFANYE MARIDHIANO HARAKA IWEZEKANAVYO.VIONGINEVYO TUTAANZA KUONA MILIPUKO NA MAUAJI YA KUSHTUKIZA MUDA SI MREFU.
 
Back
Top Bottom