Swala hili limeanzia mbali sana. Kabla ya miaka ya 1800 mwishoni na 1900 mwanzoni wayahudi wengi walikuwa huko ulaya. Huko hasa ulaya mashariki walibaguliwa sana na hawakuruhusiwa hata kumiliki ardhi. Kitendo hicho kikafanya wengi kujazana mijini sababu hawangeweza kulima. Sasa huko mjini wengi walikikuwa washona nguo, masonara, mafundi viatu, madalali, wauza vitu vya nyumbani na wakopesha pesa.
Marekani kulipoanza kuwa na fursa nyingi za kiuchumi watu wa ulaya wakaanza kuhamia. Wazungu wengi wakajikuta na ujuzi wa kulima tu hivyo wakaingia maeneo ya mashambani kuanzisha mashamba na kuwa vibarua. Ila wayahudi wengi walijikuta wanaujuzi wa kuwawezesha kuishi mjini. Wengi wakaanzisha biashara ya kushona nguo. Waliishika sana hii biashara. Wengine walitumia ujuzi wao waliotoka nao kwenye miji ya ulaya kuanzisha biashara za kutengeneza viatu, maduka ya rejareja, usonara, kukopesha pesa nk, mambo yaliyowapa utajiri mkubwa. Hii ndiyo sababu ya hawa watu kuwa madon sana.
Nimevutiwa na mada yako, ngoja na mimi nieleze kwa kifupi kuhusu Wayahudi:
Hawa jamaa wanajua kucheza na nyakati, waliona mbali na wakawekeza katika kueneza utambulisho, utamaduni na fikra zao kwa kutumia sinema. Mfano maalumu wa uwekezaji mkubwa wa Wayahudi ni katika sekta ya sinema (na burudani).
Wakati wengine wamelala, Wayahudi walifahamu mapema sana taathira ya sekta ya sinema na umuhimu wake katika propaganda. Miaka ya karibuni Iran imezinduka katika usingizi na kuanza kujipenyeza kwenye sekta ya filamu duniani ili kueneza utambulisho na tamaduni zake dhidi ya tamaduni za Kimagharibi, lakini bado wana kazi ngumu sana kufuta alama zilizoachwa na sinema za Hollywood, chini ya udhibiti wa Israel na Marekani.
Mwanzoni mwa kudhihiri sekta ya filamu duniani, Wayahudi walitoa misaada mikubwa ya kifedha (kwa kusaidiwa na Marekani) kwa lengo la kutekeleza malengo yao. Walinunua mashirika mashuhuri ya kutengeneza filamu duniani ya Marekani ili kudhibiti na kuhodhi utengenezaji filamu. Ni kwa sababu hii mashirika ya kutengeneza filamu Marekani yanamilikiwa na Wayahudi na wanatumia filamu kama sehemu ya kueneza fikra zao duniani.
Ushawishi wa Israeli duniani ni mkubwa ndio maana tukio kama la Holocaust (mauaji ya kimbali ya Waisrael milioni sita yaliyofanywa na utawala wa Adolf Hitler) sasa limebadilika na kuwa nadharia inayokubalika Hollywood, na kila mtengeneza filamu anayefanyia kazi nadharia hiyo hupata sapoti kubwa ya fedha kutoka kwao.
Sapoti hii huanzia wakati wa utengenezaji filamu hadi inapopigiwa debe katika vyombo vya habari ili kuoneshwa katika kumbi za sinema kote duniani. Hata katika tuzo na matamasha ya filamu duniani, kama Tuzo za Oscar n.k, Wayahudi huhakikisha filamu wazitakazo ndizo zinazopata zawadi bora zaidi.
Ukisoma kitabu cha mwandishi Myahudi, Neal Gabler, cha
‘An Empire of Their Own: How the Jews Invented Hollywood’ (Ufalme Wao Binafsi: Namna Wayahudi Walivyobuni Hollywood) utagundua kuwa studio kubwa za kutengeneza filamu Hollywood zinazomilikiwa na Wayahudi. Kati ya studio au mashirika hayo ni pamoja na Colombia, Metro Golden-Mayer, Warner Brothers, Paramount, Universal na Fox.
Norman F. Cantor mhadhiri wa Chuo Kikuu cha New York katika utafiti alioufanya mwaka 1994 aliashiria nukta hii kuwa, utengenezaji na usambazaji filamu Hollywood tangu miaka 50 hadi sasa sehemu kubwa ya sekta ya burudani Marekani inahodhiwa na Wayahudi wahamiaji. Wanachofanya ni kuwaunga mkono waigizaji wenye asili ya Kiyahudi, ndio maana leo huko Hollywood kuna idadi kubwa ya waigizaji na watengeneza filamu Wayahudi ambao wanaunga mkono utawala wa Israeli.
Kwa hivyo mbali na kuwa utawala wa Israeli unawaunga mkono wasanii hao, vilevile wasanii hao wanalazimika kutangaza fikra za Israel. Watengeneza filamu waungaji mkono Utawala wa Israeli ni pamoja na Erich von Stroheim, Fritz Lang, Roman Polanski, Steven Spielberg na Samuel Goldwyn. Watengeneza filamu hawa ambao baadhi wameshafariki si tu kuwa ni waungaji mkono Israel bali pia athari zao zilikuwa na lengo la kutangaza fikra za Kiyahudi.
Je ni kitu gani kilichozingatiwa katika filamu hizi na ni maudhui yepi yaliyopewa umuhimu katika filamu zinazounga mkono utawala wa Israel? Steven Spielberg, mtengeneza filamu Mmarekani aliingiza tukio la Holocaust katika filamu yake ya mwaka 1993 iliyopewa jina la ‘Schneider’s List’ (Orodha ya Schneider). Kupitia taasisi ya Kiisraeli ya SHOA, Spielberg alifanya bidii kukusanya hadithi zinazohusiana na tukio la Holocaust.
Lengo la filamu kama ‘Schindler’s List’ lilikuwa kutoa mafunzo kwa ajili ya kuhakikisha vizazi vijavyo vina maelezo kamili kuhusu kadhia ya Holocaust.
Tangu kubuniwa utawala wa Israeli mwaka 1948 Wayahudi wamekuwa wakijipenyeza nyuma ya pazia katika nafasi muhimu za uongozi Hollywood ili waweze kudhibiti mkondo wa utengenezaji filamu duniani. Pamoja na hayo hawakuwa wanajihusisha moja kwa moja katika masuala ya sinema kimataifa. Lakini kutoka mwaka 2000 hadi sasa, filamu ambazo hutengenezwa katika ardhi ya Israeli na maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu zimekuwa zikishirikishwa katika matamasha ya kimataifa. Kwa hivyo Wayahudi sasa wanajitokeza waziwazi katika sekta ya filamu duniani.
Kufanyika kwa ‘Matamasha ya Filamu za Israeli’ katika miji ya Los Angeles, Miami na New York ni mfano wa kujitokeza wazi kuwa Wayahudi wameingia rasmi katika sekta ya filamu. Matamasha haya hufanyika kwa ushirikiano wa Utawala wa Israeli na Marekani ambapo filamu zilizotengenezwa Israeli huoneshwa.
Jambo ambalo limebainika ni kuwa harakati hizi haziishii tu katika kueneza fikra za Israeli. Mwaka 1993, utawala wa Israeli ulianzisha
New Foundation for Cinema and Television. Kupitia taasisi hii, Israeli inakusudia kueneza ushawishi wake katika soko la sinema duniani. Taasisi hii yenye bajeti kubwa ya kifedha inajitahidi sana kuwavutia watengeneza filamu Waarabu...