Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wake za watu na single maza ni warahisi na ni watamu kuoa ni kujiongezea majukumu 😁😁😁😁😁Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?
Uoe usioe lazima maisha yaendelee tu maana dunia ni zaidi ya mipango yako kifamilia.Sijaoa kwasababu mwanamke wa kuendana na mimi katika kizazi hiki cha kidijitali hayupo.
Naishia kukutana na wanawake wanaojichatisha ovyo na maex. Nikikomaa sana nawapate wale paka mapepe wanaogawa namba ovyo kila kona. Kwa kifupi sioi ng'o!
pole sana bro.....sasa huyo ukija kukutana miaka ya mbeleni si mtapasha kiporo 😂Nina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana😓😓😓
View attachment 2587862
Kama ni Muslim nenda Dar hivi majuzi nmesoma pahala kulikua kuna ofa (sijui bado ipo) ya kulipiwa mahar kwa vijana wote ambao wameshindwa kuoa kwa sababu za kukosa mahar [emoji23][emoji23] mchakato mzima wa ndoa utasimamiwa na hiyo taasisi ya kiislam..Nina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana[emoji29][emoji29][emoji29]
View attachment 2587862
nasuburia uzi wako wa vilio 😂Timiza[emoji55]kwanza ndoto zako angalau % 30 kama mwanaume ndio uoe, binafsi nina miaka 31 ila mwisho wa mwaka huu ndo nitatafuta mchumba tuchunguzane kwanza[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
inasikitisha... watu mmependana lakini mnaachana kwasababu ya usawa wa maisha.Nina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana😓😓😓
View attachment 2587862
Mama yako mtamu sanaWake za watu na single maza ni warahisi na ni watamu kuoa ni kujiongezea majukumu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
huezi jua 😂ndo ndoa zinavunjika hivi, maex wanapasha viporo....😄😄😄😄😄bora kufa kuliko kupasha kiporo
Yani ni kugusa tu..pole sana bro.....sasa huyo ukija kukutana miaka ya mbeleni si mtapasha kiporo 😂