Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Screenshot_20230410-174333~3.png
 
Sijaoa kwasababu mwanamke wa kuendana na mimi katika kizazi hiki cha kidijitali hayupo.

Naishia kukutana na wanawake wanaojichatisha ovyo na maex. Nikikomaa sana nawapata wale paka mapepe wanaogawa namba ovyo kila kona. Kwa kifupi sioi ng'o!
 
Sijaoa kwasababu mwanamke wa kuendana na mimi katika kizazi hiki cha kidijitali hayupo.

Naishia kukutana na wanawake wanaojichatisha ovyo na maex. Nikikomaa sana nawapate wale paka mapepe wanaogawa namba ovyo kila kona. Kwa kifupi sioi ng'o!
Uoe usioe lazima maisha yaendelee tu maana dunia ni zaidi ya mipango yako kifamilia.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ki ukweli mabinti wa kisasa ni changamoto sana.. Wengi wao sio wife materials mbaya zaidi wana tabia ambazo ni too risk akiingia nazo ndoani hata hazirekebishiki kirahisi!
 
Nina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.

niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana[emoji29][emoji29][emoji29]
View attachment 2587862
Kama ni Muslim nenda Dar hivi majuzi nmesoma pahala kulikua kuna ofa (sijui bado ipo) ya kulipiwa mahar kwa vijana wote ambao wameshindwa kuoa kwa sababu za kukosa mahar [emoji23][emoji23] mchakato mzima wa ndoa utasimamiwa na hiyo taasisi ya kiislam..
 
Timiza[emoji55]kwanza ndoto zako angalau % 30 kama mwanaume ndio uoe, binafsi nina miaka 31 ila mwisho wa mwaka huu ndo nitatafuta mchumba tuchunguzane kwanza[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom