Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Haya maswali ya Aya ya Mwisho mwenzenu naulizwa kila siku....Aisee naboreka jamani
 
Mimi nimeshawapeleka nyumbani wawili ila bi mkubwa anakataa mzee hana noma bi mkubwa kakataa halafu kanionyesha anayetaka yeye mpaka sasa ngoma droo.
 
Swali ambalo wanawake hawana majibu nikiwauliza kuhusu ndoa.

"JE.. UTANISAIDIA NINI KTK NDOA?, YAANI UTANIPA MCHANGO GANI MIMI KTK NDOA? WHY TUOANE ILI IWEJE?"

Wanawake ktk Ndoa wanakazi mbili

1- Kuingiliwa kimwili
2-Kuzaa

Kinachobaki ni:-

1-KELELE
2-UBINAFSI
3-KUMNYIMA MWANAUME UHURU
4-KUJILIMBIKIZIA MALI
5-MASIMANGO
6-NA UPUUZI MWINGINE

muda huo anakuvizia

1-UFE
2-UFUNGWE
3-TALAKA

then apate MALI aishi anavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…