Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Wewe unadeti na wanavyuo au wanafunzi kama sio masharobaro na mamarioo au mabishoo... Au huenda unatoka na wavulana ambao bado wanategemea mlo kutoka kwa wazazi... Kuna wanaume wengi tu wanajielewa na wanajua kukaa na mwanamke ni vile tu wanakutana na maslay queens na golddiggers huko wanawaingiza mkenge...

Alafu cha kukusaidia kama unataka ndoa acha kua serious sana unapokua na mwanaume, ila fanya mwanaume mwenyewe atangaze ndoa mwenyewe tu si atakuona u're wife materials ila kama na wewe unaenda na zile gia zenu na maswali ya kisichana za "Eti baby malengo ya mahusiano yetu ni nini? Sijui lini utanitambulisha kwenu? Aaah haya maswali huwa hatuyapendi wallah!
Haya maswali ya Aya ya Mwisho mwenzenu naulizwa kila siku....Aisee naboreka jamani
 
Mimi nimeshawapeleka nyumbani wawili ila bi mkubwa anakataa mzee hana noma bi mkubwa kakataa halafu kanionyesha anayetaka yeye mpaka sasa ngoma droo.
 
Swali ambalo wanawake hawana majibu nikiwauliza kuhusu ndoa.

"JE.. UTANISAIDIA NINI KTK NDOA?, YAANI UTANIPA MCHANGO GANI MIMI KTK NDOA? WHY TUOANE ILI IWEJE?"

Wanawake ktk Ndoa wanakazi mbili

1- Kuingiliwa kimwili
2-Kuzaa

Kinachobaki ni:-

1-KELELE
2-UBINAFSI
3-KUMNYIMA MWANAUME UHURU
4-KUJILIMBIKIZIA MALI
5-MASIMANGO
6-NA UPUUZI MWINGINE

muda huo anakuvizia

1-UFE
2-UFUNGWE
3-TALAKA

then apate MALI aishi anavyotaka.
 
Back
Top Bottom