Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Mimi nimeplan kuget married nikifika forty years old,najua kwa wakati huo nitakuwa nimekuwa mature enough kuweza kuishi na mwanaume nyumba moja,kama mwili mmoja na tunene mamoja,Ile till death do us apart.
 
Unachelewa kupata raha za ndoa..
Mwanamke anaenjoy mwisho miaka 45 tu..so utakua na mwaka mmoja au miwili maana mingine mitatu utakua mjamzito au unanyonyesha..

Shituka mkuu.
 
Ndoa ngumu, ni hatari kwa afya ya akili na mwili, hasa kwa wanaume ambao uchumi si salama.

Miezi kadhaa iliopita, niliamua kujitosa kwa dhati, kuishi na mpare wangu mzuri ,anaejali, kwakweli alinipenda sana macho,maneno na matendo hakika vilisadiki upendo wake kwangu.
Sikuwahi kua na hela, hela za kumshawishi yule binti kua na mie, ninachokumbuka, niliacha uhuni kwa ajili yake kabisa, ili nianze nae maisha taratibu ,ili nifikie lengo hasa kumuoa.
Ya Mungu mengi, mwezi mja mbele mambo mambo yangu ,hasa ya kupata mia mbili tatu, kuanza kuyumba.
Kazi kwa mchna, nkatimuliwa, biashara kamja, kakakumbwa na madeni ....aisee nikawa zero balance hahaha kila mti ninaopanda unateleza, sasa akili ikanijia ikanambia 'mchuma janga hula na wakwao' nenda kwenu kwa muda kupunguza depression, ucje ukafa ugenini. Apo ni karibia miezi miwili hali tete, uzuri kodi nililipa mwezi mja nyuma, na baadhi ya chakula kilikuepo kwa kuishi.
Yule mwanamke nae bahati mbaya, nae akapoteza kazi ...wote tukawa hatuna kazi hahaha
Nikaona hapa kidume sasa chali, sina jambo tena,maana katka huo mwezi hta kufanya mapenzi kwangu ulikua mtihani mzito sanaa.

Basi nikaongea na mwenzangu, mwnangu sana alikua mshkaji, akasema poa we nenda, ukale janga na wa kwenu, mi ntajitahdi ni ishi maana msosi upo, ila atakua anamtembelea mamie mdogo ,ni kijana tu wa 30+ kujiunga na mishe zake za biashara angalau hatakosa mia mbili tatu, na wakati huo nilimwahidi itachukua miezi miwili ,mitatu mi kukaa sawa na mambo yataenda poaa ntakapo rudi,maana kwake hofu ilikua ni kodi hapo baadae.. Kidume nikasepa kwa amani zote na tu begi kangu na nguo kadhaa tu.

Bwana bwana weee.. Siku hazigandi , siku mbili ngapi najitahidi kupoza makali ya njaa pale skani,
matukio ya kuomba visenti hayakuisha, japo mengine nilisimama mengne nilikaushaa maana mambo hayakua sawa.

Ni ndani ya miezi miwili hyo, siku nikatumiwa message .
'mimi bwana, naona kila mtu achukue time yake' hehe moyo ukasuka paah! Nikasema kwisha habari yangu.

Badae nkampgia simu, nikaongea nae ,kwa mapana na marefu, kiukweli akanielewa japo, akili na moyo vinasema umeshaliwa na kuna jeuri nyuma yake imesimama. Nilijiandaa kiakili kwa lolote litakalo tokea baada ya maongezi yangu na yeye yalionipa fafaraja ya upofu , kwa sababu ya mapenzi.
Mawasiliano yalipungua, sana baada ya text ile, japo alipokua ananikabia na kutafuta sababu ni pale text ya ninashda na elfu kadhaa na mimi kujitahdi kutokukuma ,kutuma ama kuchelewa kutumaa...

Muda wa kula janga na wakwetu ukaisha, nikarudi twn kimyakimya ,maana nyuma hapo matukio na vmaneno kwenye watsup havikua rafiki kwngu haha dah.
baada ya wiki mbili, nkamchek, akasema tusionane na yupo na yule mamie mdogo anaishi nae . . Kwa madai yeye hajui kama alikua nami. Nikasema poaa, akasictiza nkachukue vya kwangu vyake nimwachie ...kwakweli majibu kwangu ni yalikua sawa.
siku namuarifu kuja kuchukua, nilimwabia nguo tu zatosha.
Akasema nije kwa adabu maana ye nw ni mke wa mtu.
kupiga moyo konde,ki jentolomeni japo iliuma na kukata maini nilipo njiani natembea nikahisi kuanguka, kizungu zungu na tumbo kukata, kasema sitaafka hapo, atume mtoto anilete barabarani. Dah

Vfurushi vya nguo nikaona hvyo vinakuja, kama ndundu(wale wapwni wanaelewa nini maana ya ndundu) .
nikapokea kinyonge nikasepa. Moyoni nikasema muweza wa yote ana kusudi nami.

Nikatafuta gheto, nikaweka ndundu zangu, tafuta na kgodoro weka chini nalaza ubavu. Kifupi naanza upya .

Tangu sasa, binafsi sitamani kuoa,
kwakujlifunza kwamba, HAKUNA MAISHA YA AMANI KATIKA NDOA (KUISHI NA MWANAMKE ) BILA YA PESA. Na ukiwa nazo mwanaume unaweza kuishi na amani ,kama hutakua na umbumbu wa kupenda na kuishi nao kwa akili.

Na binafsi mpka sasa . Sihitaji mwamamke yeyote, hata wa ajali wa kimasihara..haha
na si kana kwamba hawapo, wa kua nao, au mie pamja na ukata wangu, kwamba hawajigongi laahasha.
Ila hawa viumbe wananawake hasa wa miaka hii ni kuishi nao KIASHIRAFRONALDOKIPLATNAMKONDEBOY.
Kila la kheri walio bahatika ndoa .
Maisha yanasonga.
 
Aisee pole sana umeandika kwa hisia Kali saana
 
Bro pole sana . ila kwa jicho lankirohoo boea mungu amekutoa mapema.. huyo mwanamke ndio chanzao cha wewe kupoteza kazi.. kuna koo nyingine ukiingia tu unashuka kimaisha na kuanza mateso.. shukuru umetoka mapema
 
Back
Top Bottom