Sababu itakayomkosesha simba ubingwa wa ligi kuu bara msimu 2016/17

Sababu itakayomkosesha simba ubingwa wa ligi kuu bara msimu 2016/17

Usiseme Uongo! Liverpool Hakuwahi Kuongoza Ligi Mpaka Mid Season! Uongozi Wa Liverpool Ulikuwa Katika Robo Ya Mwisho tu Ya Ligi Pale Liverpool Alipomfunga Manu Goli 4 - 1 na ndiyo Liverpool alikuwa Akiongoza Kwa Point 1 tu mpaka Pale Alipokuja Akatoka Draw ya 4 - 4 na Arsenal Ndiyo Man U akachukua Ubingwa..

Lakini Mpaka Mid Season Yaani End of Dece and early Janu Liverpool Hakuwahi Kuongoza Ligi, Bali Waliokuwa Wakipishana ni Arsenal na Man U..

Kwahiyo Kesi hii ni Tofauti na Ya Simba Ambaye Tokea Mwanzo Wa Msimu Anaongoza Ligi na Utamaliza Msimu Bado Anaoongoza! Ikumbukwe Kuwa Tumewaacha YeboYebo Kwa Points 5..
Umenielewa lakini? Tafuta msimu wa 2008 /9 Barclays pl
 
Back
Top Bottom