Sababu kama hii ndio sababu ya watu kugawanyika juu ya Stars

Sababu kama hii ndio sababu ya watu kugawanyika juu ya Stars

Mashetani machache ya hapa jf hayawezi kufanya stars isishinde
Manini mkuu

[emoji28][emoji38][emoji1][emoji41][emoji849][emoji850][emoji25][emoji21][emoji57][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Naona matokeo yanabadilika kama yale ya uchaguzi 2015 ilianza na ENL baadae kimaajabu kabisa ikawa kama ilivyotangazwa!
Game changer!!!!!
 
Nakumbuka siku ile Makonda anaomba aruhusiwe kwenda Misri eti akaongeze hamasa kumbe ni kupeleka nuksi tuu.
Iweje timu ya Taifa uiite ya CCM kama sio gundu hilo?
 
Huya jamaa amefanikiwa kwa sehemu kubwa kuuondoa umoja na mshakamano wa watanzania ulioasisiwa na mwalimu Nyerere.
 
Basi ndio kama hivyo dogo alietumwa na magu dukani karudi na mangi nyumban
 
Write your reply... Mm nilivyoona hilo libambataa bashite linaenda huko, nikajua tutafungwa tu.
 
Back
Top Bottom