Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,229
1. Simba & Yanga kuwa kubwa kuliko T.F.F
(Mfano: Timu hizi hukiuka kanuni wazi wazi na hakuna hatua yoyote inachukuliwa)
2. Viongozi wa T.F.F wengi ni "vilaza"
(Mfano: Kwenda kuokota wachezaji mtaani na kuwapeleka moja kwa moja timu ya Taifa, mchezaji hata viatu hajui kufunga kamba)
3. Viongozi wa T.F.F wengi ni "wachumia tumbo"
(Mfano: Uuzaji wa Haki za matangazo, Ajira za kocha wa timu ya taifa)
4. Viongozi wa Vilabu wengi ni "vichwa maji"
(Mfano: Una wanachama na mashabiki zaidi ya 1,000,000 ila huna hata uwanja wa kuingiza watazamaji 15,000. Unaingia mkataba wa Tsh 250M wa mauzo ya jezi kwa mwaka!)
5. Wanachama wa Vilabu wengi ni ma "mbumbumbu"
(Mfano: Kumilikisha timu kiholela, kutokujua majukumu ya uanachama wako ikiwemo kulipia ada)
6. Waandishi, Wachambuzi & watangazi wa michezo wengi "wanatumika"
(Mfano: Kuponda jambo likitendwa na klabu fulani, ikitenda klabu nyingine wanakua kama hawaoni)
7. Mashabiki wengi wa Tanzania ni "wajinga" (Mfano: Kumzomea mchezaji timu ya taifa kisa hatoki klabu ambayo huishabikii.
Mtu anaenda na redio kibanda umiza, anashangilia kabla ya tukio kutokea kwenye TV)
NB: Wengi ni kuanzia 85%, nitakuja wakati mwingine kuelezea hoja moja baada ya nyingine.