Sababu kubwa Soka la Tanzania kutopiga hatua mbele

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
1. Simba & Yanga kuwa kubwa kuliko T.F.F
(Mfano: Timu hizi hukiuka kanuni wazi wazi na hakuna hatua yoyote inachukuliwa)

2. Viongozi wa T.F.F wengi ni "vilaza"
(Mfano: Kwenda kuokota wachezaji mtaani na kuwapeleka moja kwa moja timu ya Taifa, mchezaji hata viatu hajui kufunga kamba)

3. Viongozi wa T.F.F wengi ni "wachumia tumbo"
(Mfano: Uuzaji wa Haki za matangazo, Ajira za kocha wa timu ya taifa)

4. Viongozi wa Vilabu wengi ni "vichwa maji"
(Mfano: Una wanachama na mashabiki zaidi ya 1,000,000 ila huna hata uwanja wa kuingiza watazamaji 15,000. Unaingia mkataba wa Tsh 250M wa mauzo ya jezi kwa mwaka!)

5. Wanachama wa Vilabu wengi ni ma "mbumbumbu"
(Mfano: Kumilikisha timu kiholela, kutokujua majukumu ya uanachama wako ikiwemo kulipia ada)

6. Waandishi, Wachambuzi & watangazi wa michezo wengi "wanatumika"
(Mfano: Kuponda jambo likitendwa na klabu fulani, ikitenda klabu nyingine wanakua kama hawaoni)

7. Mashabiki wengi wa Tanzania ni "wajinga" (Mfano: Kumzomea mchezaji timu ya taifa kisa hatoki klabu ambayo huishabikii.

Mtu anaenda na redio kibanda umiza, anashangilia kabla ya tukio kutokea kwenye TV)

NB: Wengi ni kuanzia 85%, nitakuja wakati mwingine kuelezea hoja moja baada ya nyingine.
 
Mkuu upo sahihi kabisa kwa baadhi ya points zako,mengine imebidi nicheke kidogo hasa hapo kwenye Radio to Kibanda umiza([emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]),mie huwa najiuliza jambo moja tu,hivi ni lazima Rais wa Tff awe mwanachama wa hivi vilabu vya Kariakoo?

Maana ninachokiona mie utakuta mashabiki wa timu fulani ndan ya mwka fulani utakuta wanasema sijui kwenye utawala wa fulani mlitunyanyasa sana nao tulien dawa iwaingie-nabakia nashangaa sana,na kweli ukifuatlia ata baadhi ya matukio unaona kabisa kwamba kuna kubebwabebwa kwa baadhi ya matukio kwa upande wa tm fulani ndani ya utawala huo unaodaiwa na mashabiki wa tim huska,

mie kwa maoni yangu Tff haitakiwi kuwa na Rais ambaye amewahi kuwa mwanachama wa Club yoyote ndan ya Tz nadhan hii itasaidia ata kwenye kufanya maamuzi sahihi plus zile kamati za Tff nazo zinatakiwa kuwa na watu wenye umakini(utakuta kamati ina wanachama wa tm fulan-hapo unategemea maamuzi yap kwenye kesi inayohusu Club yake?) na sio wa Ukariakoo,ijapokuwa sijui vigezo vya kuwa kiongozi pale Tff lakini nadhn inaweza kusaidia kidogo.
 
Mkuu upo sahihi kabisa kwa baadhi ya points zako,mengine imebidi nicheke kidogo hasa hapo kwenye Radio to Kibanda umiza([emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]),mie huwa najiuliza jambo moja tu,hivi ni lazima Rais wa Tff awe mwanachama wa hivi vilabu vya Kariakoo?....
Kitu cha kusikitisha ni haiwezekani. Maana wengi ni Simba au Yanga lialia
 
Mkuu upo sahihi kabisa kwa baadhi ya points zako,mengine imebidi nicheke kidogo hasa hapo kwenye Radio to Kibanda umiza([emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]),mie huwa najiuliza jambo moja tu,hivi ni lazima Rais wa Tff awe mwanachama wa hivi vilabu vya Kariakoo?

Maana ninachokiona mie utakuta mashabiki wa timu fulani ndan ya mwka fulani utakuta wanasema sijui kwenye utawala wa fulani mlitunyanyasa sana nao tulien dawa iwaingie-nabakia nashangaa sana,na kweli ukifuatlia ata baadhi ya matukio unaona kabisa kwamba kuna kubebwabebwa kwa baadhi ya matukio kwa upande wa tm fulani ndani ya utawala huo unaodaiwa na mashabiki wa tim huska,

mie kwa maoni yangu Tff haitakiwi kuwa na Rais ambaye amewahi kuwa mwanachama wa Club yoyote ndan ya Tz nadhan hii itasaidia ata kwenye kufanya maamuzi sahihi plus zile kamati za Tff nazo zinatakiwa kuwa na watu wenye umakini(utakuta kamati ina wanachama wa tm fulan-hapo unategemea maamuzi yap kwenye kesi inayohusu Club yake?) na sio wa Ukariakoo,ijapokuwa sijui vigezo vya kuwa kiongozi pale Tff lakini nadhn inaweza kusaidia kidogo.
Hoja yako ni nzuri sana mkuu lakini utekelezaji wake ni almost impossible.

TFF ni nani? viongozi wao wanatoka wapi? Kwa kifupi hili ni kundi la wapiga dili wa mjini hapa wanaojitanabaisha kuwa ni watu wa mpira.

Watu wa mpira ni nani? Watu wa mpira ni wadau wa Simba na Yanga na wanajuana...yaani viongozi wa vilabu vyoote unavyovijua wewe ndani ya nchi hii...timu zao ni Simba na Yanga...
Akitokea mtu ambaye si Simba wala Yanga hawezi kupewa uongozi kwasababu si mtu wa sports ( Hatokei vilabu pendwa so hawamjui) kwanza hama connection nani atampa kura...kama unadhani CCM kuna wajumbe noma basi unakosea TFF ni Zaidi ya huijuavyo...Fitna,Uchawi etc ndo vimezaliwa pale...TFF ina wenyewe na wenyewe ni Simba na Yanga..
 
Jambo ni moja tu, hatujawekeza kwenye soka kitaalamu, yani hatuwezi kukuza soka kama hatuna football academy nyingi zinazokuza vipaji vya vijana wetu, wakulie kwenye soka mpaka wanapokuja kuchezea vilabu vikubwa hapa nchini
 
Jambo ni moja tu, hatujawekeza kwenye soka kitaalamu, yani hatuwezi kukuza soka kama hatuna football academy nyingi zinazokuza vipaji vya vijana wetu, wakulie kwenye soka mpaka wanapokuja kuchezea vilabu vikubwa hapa nchini
2. Viongozi wa T.F.F wengi ni "vilaza"
(Mfano: Kwenda kuokota wachezaji mtaani na kuwapeleka moja kwa moja timu ya Taifa, mchezaji hata viatu hajui kufunga kamba)
 
Hoja yako ni nzuri sana mkuu lakini utekelezaji wake ni almost impossible.

TFF ni nani? viongozi wao wanatoka wapi? Kwa kifupi hili ni kundi la wapiga dili wa mjini hapa wanaojitanabaisha kuwa ni watu wa mpira.

Watu wa mpira ni nani? Watu wa mpira ni wadau wa Simba na Yanga na wanajuana...yaani viongozi wa vilabu vyoote unavyovijua wewe ndani ya nchi hii...timu zao ni Simba na Yanga...
Akitokea mtu ambaye si Simba wala Yanga hawezi kupewa uongozi kwasababu si mtu wa sports ( Hatokei vilabu pendwa so hawamjui) kwanza hama connection nani atampa kura...kama unadhani CCM kuna wajumbe noma basi unakosea TFF ni Zaidi ya huijuavyo...Fitna,Uchawi etc ndo vimezaliwa pale...TFF ina wenyewe na wenyewe ni Simba na Yanga..
Du!,asee kaz ipo mkuu kwenye soka letu kama mambo yenyewe ndo haya ya kujuana kwa vilemba,we have long way to go! na hatuwez kufika kamwe kwa mfumo huo wa kujuana.
 
2. Viongozi wa T.F.F wengi ni "vilaza"
(Mfano: Kwenda kuokota wachezaji mtaani na kuwapeleka moja kwa moja timu ya Taifa, mchezaji hata viatu hajui kufunga kamba)
Tuna mambo mengi ya kuweka sawa, ila uwekezaji kwenye soka kunahitajika umakini sana
 
Ni kipi tulichofanikiwa kama taifa mpaka michezo iwe tofauti?

Elimu, Afya, Miundombinu, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Kilimo, Technologia, Siasa no vyote ni hohe hahe.
 
Kwa hiyo wewe ukomo wa kufikiri kwako ndo huo, kwamba michezo kupewa kipaumbele ni mawaziri kucheza? [emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]
Michezo ipewe kipaumbele ili hali viongozi wa mpira ni "vichwa maji" yaani serikali imepoteze hela kwa mambo ya "kipuuzi"
 
Du!,asee kaz ipo mkuu kwenye soka letu kama mambo yenyewe ndo haya ya kujuana kwa vilemba,we have long way to go! na hatuwez kufika kamwe kwa mfumo huo wa kujuana.
Hatufiki popote mkuu
 
Back
Top Bottom