Hizi ndio sababu kubwa watu wanataka kujitenga, kujitawala na kuwa taifa huru.
Lugha, imani, kabila na heritage (sijui kwa kiswahili). Hizi ni sababu kuu.
Hawa watu kwenye mataifa wanayoishi hata ukifanyaje ipo siku warajitenga tu.
Zanzibar wanataka taifa lao kwasababu ya imani ya kiislamu. Siyo mbaya ni haki yao kwasababu 98% ni Muslims.
Anglophone Cameroon wanataka kujitenga kisa lugha. Licha ya upendeleo na manyanyaso lugha bado tu ni sababu kubwa.
Western Sahara nao heritage wanataka utambulisho licha wote ni Waislamu tu kama Morocco.
Biafra. Hili Jimbo Nigeria south east wanataka kujitenga kwasababu ya ukabila igbo. Hata wakisema ni kutengwa na kunyanyaswa lakini kikubwa ni kabila. Mbona jimbo la Benin state ni jirani lakini hawataki kujitenga na Nigeria?
Kabinda. Gawa wanataka kujitenga toka zamani hata kabla mafuta yagundulike. Hawapendi kujiita angolans. Jimbo lenyewe liko congo drc.
Western Suda Darfur. Hili Jimbo nao wanataka kuwa taifa nakujitenga na Sudan. Japo wote ni Waislamu lakini wanataka identity yao.
Nchi zingine duniani zinataka kujitenga na kuwa mataifa huru kwa misingi ya dini, imani, kabila , lugha na heritage ni.
Bahrain, wengi ni shia hawataki kutawaliwa na sunni minority.
Kurdistan. Wakurd wanataka taifa lao ambalo liko katikati ya Iraq, Turkey, Syria na Iran.
Tigray na Oromia Ethiopia.
Kashmir
Scotland na Nothern Ireland.
New Caledonia. French oversea territory.
Catalonia (Barcelona)
Southern Thailand