Wanawake mnao hangaika na mahusiano baadhi yenu mlipuuza wapenzi wenu watarajiwa wa utotoni na mkafikiri labda ulimwengu utaleta wenzi bora mkaanza kufanya sampling.
Aliyewasukuma kuchumbiana na kulala na wanaume tofauti tofauti kabla ya ndoa aliwaharibu sana. Mmebeba mizigo mingi kutoka kwa mahusiano ya zamani, ambayo yamewafanya kuwa watu wa giza, wenye uchungu, mliovunjika mioyo ambayo hamuwezi kuweka commitment.
Mmevurugwa kisaikolojia bila kujitambua, Mmekuwa wagonjwa wa akili wenye maradhi ya kihisia na mna huzuni. Na kibaya zaidi licha ya nafsi zenu kuwa nzito mnakataa yote haya na kuwa very defensive, playing the victims kujifanya saints, na kujipa mioyo kwa kutafuta kasoro kwa wanaume na bila kujielewa mnakuwa na reaction za ajabu kama viburi, vinyongo, vijembe, visasi , ufeminism n.k reactions ambazo ni Karaha kwa wanaume wanaotaka kusettle na nyie na kujikuta ata kama mliweza kuweka commitment mahusiano yanavunjika hamuelewi shida nini.
Mwisho mnaishia kukutana na wanaume wanaoweza kuwavumilia kumbe ni wawinda mataji ambao nao washavurugwa kihisia hawana mipango na ndoa zaidi ya fantasy za kuchapa na kutembea.
Msikatae kwamba hamjakosea wekeni pride pembeni, Confess ungameni muweke nafsi zenu huru na ndipo mtaponywa.