TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Ni gani?, mahangaiko ya mwanaume ni natural,lakini wanawake sasa wanamahangaiko plus masumbukoSasa mbona nyie ndio mna mahangaiko tena na machungu🙆🙆🙆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gani?, mahangaiko ya mwanaume ni natural,lakini wanawake sasa wanamahangaiko plus masumbukoSasa mbona nyie ndio mna mahangaiko tena na machungu🙆🙆🙆
Ooooh!! Kumbe mkihangaika nyie ni natural!!!Ni gani?, mahangaiko ya mwanaume ni natural,lakini wanawake sasa wanamahangaiko plus masumbuko
Kwani maandiko yanasemaje?,wape,ba unawajua,ukiwajua basi utaelewaOoooh!! Kumbe mkihangaika nyie ni natural!!!
Basi sawa🤣🤣
Haya.Kwani maandiko yanasemaje?,wape,ba unawajua,ukiwajua basi utaelewa
God bless the women...by Lucky Dube (Rip)..
Lyrics
In the middle of the night I heard her pray
So bitterly and so softly, yeah
She prayed for her children
She prayed for their education
Then she prayed for the man
That left her with her children
We praise heroes everyday
But there are those that we forget to praise
The women of this world
You see
They don't run from anything
They stand and fight for what's right
They don't run from anything
They stand and fight for what's right
Oh oh oh
God bless the women
Oh oh oh
God bless the women
Oh oh oh
God bless the women
Oh oh oh
God bless the women
God bless the women
Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected
They don't run from anything
They stand and fight for what is right
They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right
Oh oh oh
God bless the women
Oh oh oh
God bless the women
Oh oh oh
God bless the women
Oh oh oh
God bless the women
Oh oh oh
God bless the women
Unaweza kusema hapa wapi ulisikia mwanaume kutaka haki sawa na mwanamke?Nanyi mkienda ndio mtakuwa mmebalance mambo sasa. Si mlisema mnataka haki sawa au mmeghairi?
Kila siku humu mnalilia haki sawa, now hamtaki tena🤣🤣Unaweza kusema hapa wapi ulisikia mwanaume kutaka haki sawa na mwanamke?
Nikikusoma katikati ya mistari yako nakiona alichozungumza mleta mada,uko panicked wakati nilichoandika wala hakihitaji akili kubwa kukielewa.
We nae kila demu unatombewa !!! Jitafakari Sana sio jambo la kawaida, personality Yako imefunikwa na nyota ya kuibiwa na kukataliwa. Jisalimishe kwa Yesu akutengenezeDaaah Carleen imebidi ukubali tu jamani! Pole my dada.
Huu mkuki jamaa ameukita kabisa kabisa.
Mfano mimi nimekuwa mvumilivu muwindaji tena niliyeumizwa na kuvurugwa so natekeleza alichosema mkuu hapo juu.
Inasikitisha sn tumefikia hatua hii ya maisha sie vijana.
Imagine nimebembeleza mabinti 4 kwa nyakati tofauti na miaka tofauti niwaoe but;
1Wa kwanza, alinisaliti nikakuta na kondom 1 imetumika wakati nimejulikana hadi kwao! Nilikaa pembeni nikajitoa maishani mwake,Leo hii analia kila siku amezalishwa and et "naomba nioe" me namcheki tu.
2. Wa pili, Nilimbembeleza akanikataa katakata na kuniona mbwa,nikakubali matokeo ohoooo kazalia nyumbani na ka misheni Town hakana mbele wala nyuma.Et now ananibana "njoo nyumbani jitambulishe plz"nacheka tu.
3. Wa tatu, tumeanza vizuri,hee! akaanza kubadilika kumbe amelijua jiji,mara paaap mimba na yupo tu home na jamaa hata kumwona mtoto haendi. Saa hii speed kali kwangu,nasema hiiiiiiiiiii( in Magufuli's voice)
4. Nne, huyu process zimeanza na mipango ya harusi kwa heshima zote kanisani,hee! Mimba paaaa! Sijui mpaka sasa yupo wapi na anaendeleaje huko?
Huu ujumbe kwa single mother mwenye mtoto wa kiume unamfaa sana,Hiyo so called Beijing ndiyo imezidi kuwapa misiba na kuwavuruga,mnazaa watoto wa kiume wasiokuwa na baba mnalea wenyewe mwisho wanatamani jinsia zenu na kutaka kuolewa kujazia pale mlipokosa nyie kuoelwa.
Unapoona jumbe kama "kataa ndoa" unatakiwa ujue ni za kizazi kilichokuja baada ya huo mkutano wa Beijing ambacho leo kinakataa kuowa kinataka chenyewe ndiyo kiolewe.
Jitathmini mkuu....wote hao umepokonywa na wahuni ?Daaah Carleen imebidi ukubali tu jamani! Pole my dada.
Huu mkuki jamaa ameukita kabisa kabisa.
Mfano mimi nimekuwa mvumilivu muwindaji tena niliyeumizwa na kuvurugwa so natekeleza alichosema mkuu hapo juu.
Inasikitisha sn tumefikia hatua hii ya maisha sie vijana.
Imagine nimebembeleza mabinti 4 kwa nyakati tofauti na miaka tofauti niwaoe but;
1Wa kwanza, alinisaliti nikakuta na kondom 1 imetumika wakati nimejulikana hadi kwao! Nilikaa pembeni nikajitoa maishani mwake,Leo hii analia kila siku amezalishwa and et "naomba nioe" me namcheki tu.
2. Wa pili, Nilimbembeleza akanikataa katakata na kuniona mbwa,nikakubali matokeo ohoooo kazalia nyumbani na ka misheni Town hakana mbele wala nyuma.Et now ananibana "njoo nyumbani jitambulishe plz"nacheka tu.
3. Wa tatu, tumeanza vizuri,hee! akaanza kubadilika kumbe amelijua jiji,mara paaap mimba na yupo tu home na jamaa hata kumwona mtoto haendi. Saa hii speed kali kwangu,nasema hiiiiiiiiiii( in Magufuli's voice)
4. Nne, huyu process zimeanza na mipango ya harusi kwa heshima zote kanisani,hee! Mimba paaaa! Sijui mpaka sasa yupo wapi na anaendeleaje huko?
🤣🤣🤣 Maisha haya bhanaJitathmini mkuu....wote hao umepokonywa na wahuni ?
MkuuWanawake mnao hangaika na mahusiano baadhi yenu mlipuuza wapenzi wenu watarajiwa wa utotoni na mkafikiri labda ulimwengu utaleta wenzi bora mkaanza kufanya sampling.
Aliyewasukuma kuchumbiana na kulala na wanaume tofauti tofauti kabla ya ndoa aliwaharibu sana. Mmebeba mizigo mingi kutoka kwa mahusiano ya zamani, ambayo yamewafanya kuwa watu wa giza, wenye uchungu, mliovunjika mioyo ambayo hamuwezi kuweka commitment.
Mmevurugwa kisaikolojia bila kujitambua, Mmekuwa wagonjwa wa akili wenye maradhi ya kihisia na mna huzuni. Na kibaya zaidi licha ya nafsi zenu kuwa nzito mnakataa yote haya na kuwa very defensive, playing the victims kujifanya saints, na kujipa mioyo kwa kutafuta kasoro kwa wanaume na bila kujielewa mnakuwa na reaction za ajabu kama viburi, vinyongo, vijembe, visasi , ufeminism n.k reactions ambazo ni Karaha kwa wanaume wanaotaka kusettle na nyie na kujikuta ata kama mliweza kuweka commitment mahusiano yanavunjika hamuelewi shida nini.
Mwisho mnaishia kukutana na wanaume wanaoweza kuwavumilia kumbe ni wawinda mataji ambao nao washavurugwa kihisia hawana mipango na ndoa zaidi ya fantasy za kuchapa na kutembea.
Anaewatakia mema anawaambia ukweli ili mrekebishe mnapokosea. Msikatae kwamba hamjakosea wekeni pride pembeni, Jiulizeni mmekosea wapi kisha Confess ungameni muweke nafsi zenu huru na ndipo mtaponywa.
Tumeamua kukaa kimya....watuongelee watakavyoMkuu
Vipi kuhusu wao kupuuzwa na waliokuwa wapenzi wao na kukimbiwa?
Ukifanikiwa kukaa na baadhi ya wanawake wanaohangaika na mahusiano utaacha hii stigma ya kuwalaumu wanawake kwa kuyumba kimahusiano.
Sikatai kuwa mke wangu ni janga langu chini ya jua lakini si wanawake wote ni hivyo unavyojiaminisha
Ukimya wenu ndo anguko lenu🤣🤣Tumeamua kukaa kimya....watuongelee watakavyo
Haina shida kama maneno Yao ndo kipato chaoUkimya wenu ndo anguko lenu🤣🤣
[emoji23]Mahangaiko ya wanawake kwenye mahusiano yao yamekubana tena?
NAKAZIA.For real wanawake wengi tanzania ukiwaangali wameng'aa but wanatembea na mengi sana Moyoni akili zimevurugika