Sababu kubwa ya wanawake kuhangaika na mahusiano

Ni gani?, mahangaiko ya mwanaume ni natural,lakini wanawake sasa wanamahangaiko plus masumbuko
Ooooh!! Kumbe mkihangaika nyie ni natural!!!

Basi sawa🤣🤣
 
Daaah Carleen imebidi ukubali tu jamani! Pole my dada.

Huu mkuki jamaa ameukita kabisa kabisa.

Mfano mimi nimekuwa mvumilivu muwindaji tena niliyeumizwa na kuvurugwa so natekeleza alichosema mkuu hapo juu.

Inasikitisha sn tumefikia hatua hii ya maisha sie vijana.

Imagine nimebembeleza mabinti 4 kwa nyakati tofauti na miaka tofauti niwaoe but;
1Wa kwanza, alinisaliti nikakuta na kondom 1 imetumika wakati nimejulikana hadi kwao! Nilikaa pembeni nikajitoa maishani mwake,Leo hii analia kila siku amezalishwa and et "naomba nioe" me namcheki tu.

2. Wa pili, Nilimbembeleza akanikataa katakata na kuniona mbwa,nikakubali matokeo ohoooo kazalia nyumbani na ka misheni Town hakana mbele wala nyuma.Et now ananibana "njoo nyumbani jitambulishe plz"nacheka tu.

3. Wa tatu, tumeanza vizuri,hee! akaanza kubadilika kumbe amelijua jiji,mara paaap mimba na yupo tu home na jamaa hata kumwona mtoto haendi. Saa hii speed kali kwangu,nasema hiiiiiiiiiii( in Magufuli's voice)

4. Nne, huyu process zimeanza na mipango ya harusi kwa heshima zote kanisani,hee! Mimba paaaa! Sijui mpaka sasa yupo wapi na anaendeleaje huko?
 

It is not easy:Luck dube.

I remember the day I called mama on the telephone

I told her mama I'm getting married

I could hear her voice on the other side of the telephone she was smiling

And she asked me a question that I proudly answered

She said son did you take time to know her

I said mama she's the best

But today it hurts me so

To go back to mama and say mama I

'm getting divorced

Oh I'm getting divorced

This choice I made didn't work out the way I thought it would (x2) it hurts me so mama

mama said to me

Chorus:

It's not easy to understand it son

But I hope you'll make it (x3)

You'll be happy again

I remember in church

When the preacher read the scriptures

You looked so beautiful and innocent

I did not know that behind that beauty

Lies the true colors that will destroy me in the near future

This choice I made didn't work out the way I thought it would be (x2)

Now I'm hurting

I remember when I held you

By the hand preacherman read the scriptures

Putting words in you mouth

Maybe what the preacherman said was not something that was with you

Now I know what they mean when they say

Beautiful woman is another man's plaything

Oh Lord I'm hurting now

this choice I made didn't work out the way I thought it would

Mama said to me

Chorus (till fade) It's not easy...
 
Nanyi mkienda ndio mtakuwa mmebalance mambo sasa. Si mlisema mnataka haki sawa au mmeghairi?
Unaweza kusema hapa wapi ulisikia mwanaume kutaka haki sawa na mwanamke?

Nikikusoma katikati ya mistari yako nakiona alichozungumza mleta mada,uko panicked wakati nilichoandika wala hakihitaji akili kubwa kukielewa.
 
Unaweza kusema hapa wapi ulisikia mwanaume kutaka haki sawa na mwanamke?

Nikikusoma katikati ya mistari yako nakiona alichozungumza mleta mada,uko panicked wakati nilichoandika wala hakihitaji akili kubwa kukielewa.
Kila siku humu mnalilia haki sawa, now hamtaki tena🤣🤣

Haya mnajimu.
 
We nae kila demu unatombewa !!! Jitafakari Sana sio jambo la kawaida, personality Yako imefunikwa na nyota ya kuibiwa na kukataliwa. Jisalimishe kwa Yesu akutengeneze
 
Huu ujumbe kwa single mother mwenye mtoto wa kiume unamfaa sana,
Wengi wao wanawaharibu watoto wao wa kiume bila kujua!
 
Jitathmini mkuu....wote hao umepokonywa na wahuni ?
 
Mkuu
Vipi kuhusu wao kupuuzwa na waliokuwa wapenzi wao na kukimbiwa?

Ukifanikiwa kukaa na baadhi ya wanawake wanaohangaika na mahusiano utaacha hii stigma ya kuwalaumu wanawake kwa kuyumba kimahusiano.


Sikatai kuwa mke wangu ni janga langu chini ya jua lakini si wanawake wote ni hivyo unavyojiaminisha
 
Tumeamua kukaa kimya....watuongelee watakavyo
 
Ila chakushangaza kila siku wanaume wanajiua kwa wivu wa mapenzi,wanaume wa kitanzania punguzene uvivu mtaacha kuhangaika na wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…