Sababu kuu 5 zisizo za kisiasa za CRDB kupata hasara katika robo ya tatu 2016 ya Tshs.2 bilion.

Hao wachagga wamesaidia nini Taifa zaidi ya wizi tu? Acha uongo Magufuli amechagua watendaji wake wote wasomi na sio wachagga...Wachagga ukabila umewazidi na awamu hii mtaisoma namba.
 
hilli libenki hovyo sana limejaza wachagga pale kila kona wanachojua ni kuiba tu
 
Sababu #2,3 na 4 zinatokana na kubadilika ghafla kwa hali ya uchumi na mazingira ya kibiashara.
Hali hiyo imetokana na maamuzi ya kisiasa yaliyoathiri mazingira ya kibiashara.
Haya jielekeze upya, au inabidi tutumie lugha ya malkia kukuelezea?
 
Hii benki itabidi ifungu baadhi ya matawi kwa hali ninavyoiona, pale branch azikiwe posta mpya tulikuwa tunabanana enzi zile, siku hizi pamepwaya sana mzunguko wa fedha haupo kama zamani nchini.
 
Mkuu ni kweli kakosea kutumia logo ya bank husika. Lakini hoja ya kwamba ajitambulishe taaluma yake ni mfu. Hapa hajashawishi watu wajiunge na bank iliyofanya au inayofanya vibaya bali amejaribu kuweka maoni yake na kuweka na supporting evidence ambazo zimewekwa public na bank husika. Kama wewe ni mmoja wa wafanyakazi au waliokopa na kushindwa kulipa kwa wakati ambao ndio mmesababisha hasara bora utulie na ujifunze kitu ili ujirekebishe ikusaidie wakati mwingine usisababishe hasara tena.
 
Tusikwepe kusikia ukweli unao umiza. Big up mleta bandiko.
 
Benki imeponzwa na UKABILA, UBINAFSI. Kwa nn huyo boss asistaafu kwa amani? Anafanya figisu kwa kudai hajamuandaa mtu ili aongezewe mkataba.
 
Benki imeponzwa na UKABILA, UBINAFSI. Kwa nn huyo boss asistaafu kwa amani? Anafanya figisu kwa kudai hajamuandaa mtu ili aongezewe mkataba.



Binafsi sidhani kama ni ukabila,kama ndivyo,je Twiga nayo ni ukabila?
Nashauri tusiwe tunajadili ukabila sana na tusiwe na mawazo ya ukabila,elimu,ukanda na yafananayo na hayo kwani yatatuzuia kujua ukweli wa mambo.
 
UNGEMSIKILIZA RAISI HATA HIOO MASHAHIRI YA JUU AYAHUSIKI MPWAAA... KWANINI ENZII ZA MSTAAFU WATANGAZE FAIDA MWAKAHUU HASAARA RUDI KWENYE HOTUBA YA RAIS. A WAANDISHII ALIONGELEA SWALA LA BANK.... NTARUDIBADAE NILISHTUKA SANA HAPAKATI WATUWALIKUWA WANAFUNGUA BANK KAMA KUKUU IKANIOGOPESHA SANA NAWENGINE KUAMINI UCHUMI UNAKUWA KUMBE LOH... MSIKILIZE TENA RAIS ILE HOTUBA UTAELEWA KAMA CRDB WAMEPATA HASARA TARAJIAHIZI NDOGO KUFUNGA MADUKA MDA SIMREFU... WANASEMA KUFUNGA NDOA SIO SHIDA SHIDA KUITUNZA NDOA ISURVIVE UNAWEZA KUWA UNAMFANYIA KILA KITU MUMEO MLOPOA NK SIKU AKIFUMA SIMUYAKO UMESAVE

HALIMA KUMBE N JUMA KAZI UNAYOOO
 
Taasisi za dini zilipewa upendeleo maalum kwenye kutoa mikopo. Kwa kudhania watarudisha mapema sasa watu wamefulia, makusanyo yamepungua msala kwa benki
 
Taasisi za dini zilipewa upendeleo maalum kwenye kutoa mikopo. Kwa kudhania watarudisha mapema sasa watu wamefulia, makusanyo yamepungua msala kwa benki
Halafu mtu anasimama mbele za watu, anasema uchumi unakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…