Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Benki imejaa UDINI,UKABILA na UFISADI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wachagga wamesaidia nini Taifa zaidi ya wizi tu? Acha uongo Magufuli amechagua watendaji wake wote wasomi na sio wachagga...Wachagga ukabila umewazidi na awamu hii mtaisoma namba.Tatizo wengi mmejaa ukabila na udini usiokuwa na maana.Asilimia 99.9 ya wakazi wa Kilimanjaro ni wachaga na Wapare na wameenda shule ya kutosha.Ww ulitarajia nani aajiriwe? Asilimia iliyobaki yaani 0.1 ni wasambaa na warangi ambao ni maarufu kwa shughuli za nguvu nenda kariakoo utawakuta na bank hakuna kazi ya kutumia nguvu
CRDB hii benki ya wachagga naichukia sana wacha ife tu.Benki imejaa UDINI,UKABILA na UFISADI.
hilli libenki hovyo sana limejaza wachagga pale kila kona wanachojua ni kuiba tuChief Kinyori sijasema popote mchaga acha kuniwekea maneno. Ingawa benk hii imekuwa kama imeanzishwa na Martin Luther. Kumbe ni ya wanahisa wengine hata hawana dini. Mtoeni huyo mzee asie na ubunifu mlete damu changa.ati mnadai hajamuandaa mrithi. Seriously!!
** mnafyatua matawi kila kona mfano kutoka mbezi beach mpaka Makumbusho mmefungua seven branches.....mbezi beach, kijitonyama, mlimani city, sinza,Ubungo, mabibo hostel. Na wengi wa mameneja/wafanyakazi ni kutoka kabila/dini fulani tu. MSITUTANIE! Mnajua mnachokifanya.
TWIGA BANCORP inataka uzi mpya kwa hapa tumalize hili kwanza.
Sababu #2,3 na 4 zinatokana na kubadilika ghafla kwa hali ya uchumi na mazingira ya kibiashara.View attachment 427148
Amani iwe nanyi!.
Nimepata nafasi ya kufanya uchambuzi wa wa taarifa za fedha (Statement of comprehensive income and statement of cash flows) za CRDB za robo ya tatu 2016 na kugundua sababu zifuatazo zilizosababisha Benki kupata hasara ya takribani Tsh.2 bilioni:
View attachment 427150
1.Kuongezeka kwa matumizi yasiyo ya riba kama vile mishahara na ada kwa 38.72% (kutoka Tshs.77,605 millioni.mpaka Tshs.107,651 milioni).
2.Kupungua kwa mapato yasiyo ya riba kama vile mapato yanayotokana na kubadilisha fedha za kigeni,ada kwa wateja na kamisheni kwa 12% (kutoka Tshs.44,036milioni mpaka Tshs.38,556 milioni.)
3.Kuongezeka kwa malipo/madai ya Riba yanayotokana na CRDB kukopa kutoka taasisi nyingine za fedha kwa 52.55%(kutoka Tshs.23,213 milioni mpaka Tshs.38,556 milioni).
4.Kuongezeka kwa hasara ambazo zitasababishwa na wateja waliochukua mikopo na "advance" kushindwa kurejesha fedha kwa 195%( kutoka hasara ya Tshs.13,093 milioni mpaka kufikia hasara ya Tshs. 38,687 milioni.)
5.Huduma mbaya za opereshini za kibenki za kila siku (operating activities) zilizopelekea hasara ya fedha taslimu Tshs15,173 milioni ukilinganisha na fedha taslimu Tshs 33,778 milioni zilizopatikana katika kipindi cha ulinganifu.
View attachment 427149
Napenda kuchukua nafasi hii kuuomba uongozi wa CRDB kutoa taarifa kwa wadau kuhusiana na hatua ambazo uongozi unatategemea kuchukua kurekebisha hasara hii pia Naupongeza uongozi wa benki kwa kwa kufanya vizuri kwenye uwekezaji(investing activities) kwa kupata fedha taslimu Tshs 235,694 milioni ukilinganisha na hasara ya fedha taslimu Tshs 64,240 milioni katika kipindi cha ulinganifu.
Nawakilisha,
Article.
Tuache ubaguzi.... Vipi jeshini, wamejaa kina nani?CRDB hii benki ya wachagga naichukia sana wacha ife tu.
Mkuu ni kweli kakosea kutumia logo ya bank husika. Lakini hoja ya kwamba ajitambulishe taaluma yake ni mfu. Hapa hajashawishi watu wajiunge na bank iliyofanya au inayofanya vibaya bali amejaribu kuweka maoni yake na kuweka na supporting evidence ambazo zimewekwa public na bank husika. Kama wewe ni mmoja wa wafanyakazi au waliokopa na kushindwa kulipa kwa wakati ambao ndio mmesababisha hasara bora utulie na ujifunze kitu ili ujirekebishe ikusaidie wakati mwingine usisababishe hasara tena.Mods wanatakiwa kuwa makini na haya mambo ya watu wasiokuwa na taaluma kutumia forums kama hizi na kutoa uchanganuzi wa mambo sensitive kwa wananchi bila kutueleza wao ni nani kitaaluma au kisheria.
Haya ni mambo ya taaluma hivyo lazima uoneshe waziwazi kitaaluma wewe ni nani na unatambuliwa na mamlaka zipi za taaluma au kisheria kusudi siku ukitupotosha na uchanganuzi wako tujue tunakupata wapi ili haki yetu isipotee.
Haya mambo ya kujitia ujuaji wa kuchanganua taarifa za fedha kwa wananchi bila ya kuwa na hayo mamlaka ya kisheria au kitaaluma yatakuja kuwatokea puani. Yaani kabisa unatumia na business logo ya benki kana kwamba ni taarifa rasmi toka benki yenyewe husika! Mwanzoni nilivyoona hiyo nembo ya CRDB nilifikiri ni wenye benki wametoa press release kumbe laaah!
Benki imeponzwa na UKABILA, UBINAFSI. Kwa nn huyo boss asistaafu kwa amani? Anafanya figisu kwa kudai hajamuandaa mtu ili aongezewe mkataba.
UNGEMSIKILIZA RAISI HATA HIOO MASHAHIRI YA JUU AYAHUSIKI MPWAAA... KWANINI ENZII ZA MSTAAFU WATANGAZE FAIDA MWAKAHUU HASAARA RUDI KWENYE HOTUBA YA RAIS. A WAANDISHII ALIONGELEA SWALA LA BANK.... NTARUDIBADAE NILISHTUKA SANA HAPAKATI WATUWALIKUWA WANAFUNGUA BANK KAMA KUKUU IKANIOGOPESHA SANA NAWENGINE KUAMINI UCHUMI UNAKUWA KUMBE LOH... MSIKILIZE TENA RAIS ILE HOTUBA UTAELEWA KAMA CRDB WAMEPATA HASARA TARAJIAHIZI NDOGO KUFUNGA MADUKA MDA SIMREFU... WANASEMA KUFUNGA NDOA SIO SHIDA SHIDA KUITUNZA NDOA ISURVIVE UNAWEZA KUWA UNAMFANYIA KILA KITU MUMEO MLOPOA NK SIKU AKIFUMA SIMUYAKO UMESAVEView attachment 427148
Amani iwe nanyi!.
Nimepata nafasi ya kufanya uchambuzi wa wa taarifa za fedha (Statement of comprehensive income and statement of cash flows) za CRDB za robo ya tatu 2016 na kugundua sababu zifuatazo zilizosababisha Benki kupata hasara ya takribani Tsh.2 bilioni:
View attachment 427150
1.Kuongezeka kwa matumizi yasiyo ya riba kama vile mishahara na ada kwa 38.72% (kutoka Tshs.77,605 millioni.mpaka Tshs.107,651 milioni).
2.Kupungua kwa mapato yasiyo ya riba kama vile mapato yanayotokana na kubadilisha fedha za kigeni,ada kwa wateja na kamisheni kwa 12% (kutoka Tshs.44,036milioni mpaka Tshs.38,556 milioni.)
3.Kuongezeka kwa malipo/madai ya Riba yanayotokana na CRDB kukopa kutoka taasisi nyingine za fedha kwa 52.55%(kutoka Tshs.23,213 milioni mpaka Tshs.38,556 milioni).
4.Kuongezeka kwa hasara ambazo zitasababishwa na wateja waliochukua mikopo na "advance" kushindwa kurejesha fedha kwa 195%( kutoka hasara ya Tshs.13,093 milioni mpaka kufikia hasara ya Tshs. 38,687 milioni.)
5.Huduma mbaya za opereshini za kibenki za kila siku (operating activities) zilizopelekea hasara ya fedha taslimu Tshs15,173 milioni ukilinganisha na fedha taslimu Tshs 33,778 milioni zilizopatikana katika kipindi cha ulinganifu.
View attachment 427149
Napenda kuchukua nafasi hii kuuomba uongozi wa CRDB kutoa taarifa kwa wadau kuhusiana na hatua ambazo uongozi unatategemea kuchukua kurekebisha hasara hii pia Naupongeza uongozi wa benki kwa kwa kufanya vizuri kwenye uwekezaji(investing activities) kwa kupata fedha taslimu Tshs 235,694 milioni ukilinganisha na hasara ya fedha taslimu Tshs 64,240 milioni katika kipindi cha ulinganifu.
Nawakilisha,
Article.
Halafu mtu anasimama mbele za watu, anasema uchumi unakuaTaasisi za dini zilipewa upendeleo maalum kwenye kutoa mikopo. Kwa kudhania watarudisha mapema sasa watu wamefulia, makusanyo yamepungua msala kwa benki