katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
yani nakereka sana na kulialia huku kwa mtu mweusiKitu cheusi ndio kiumbe pekee kila kitu yeye anaonewa
yani nakereka sana na kulialia huku kwa mtu mweusi
watu asili yao ni weupe ila weusi wanalazimisha wawe kati yao.
angalia timu zetu hatuna mweupe hata mmoja lakin hatusemi
waafrika tuko wanafiki sana
Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 haina mtu mweusi?.
Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la Amerika Kusini ndiyo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku Brazil ikiongoza ikiwa na watu weusi takribani milioni 120.
Pamoja na hayo yote kitu kimoja cha kushangaza nchi ya Argentina 🇦🇷 tofauti na nchi zengine za America kusini ndiyo nchi pekee yenye watu weusi wachache mno. Hili lilitokeaje?.
Watu weusi walikwa mstari wa mbele kwenye vita dhidi ya Paraguay wakiwa na vifaa duni, vita hivyo vilidumu kwa miaka mitano (1865-70), Pia viongozi wa Argentina wa wakati huo walifanya hivyo pia kwenye vita dhidi ya Brazil iliyodumu kwa miaka mitatu.
Baada ya vita hivyo kuisha ambapo Argentina ilipigika vibya mno, Watu weusi waliosalia waliwekwa kwenye maeneo maalumu ambayo kwa kipindi hicho kulikuwa na ugonjwa wa hatari unaosababishwa na bacteria “Plague”.
Watu weusi wengi sana walikufa huku serikali ikiwanyima kwa makusudi matibabu dhidi ya ugonjwa huo.
Maisha ya watu weusi yalikuwa magumu mno mwanzoni mwa miaka ya 1900 wakipitia matatizo kama ukosefu wa chakula cha kutosha,wakiishi katika mazingira hatarishi, wakibaguliwa katika huduma zote za jamii. Kutokana na ugumu huo wa maisha wengi wakaamua kuhamia katika nchi jirani za Brazil, Paraguay, Chile n.k.
Watu pekee waliokuwa angalau wanathaminiwa ni waafrika(weupe) hao hawakubaguliwa sana ila walilazimishwa waowane na wazungu na hivyo kuzaa watoto machotara. Pia hao machotara ilikuwa ni lazma aowane na mzungu na siyo mtu mweusi au chotara mwenzake. Hili lilikuwemo ndani ya sera za Argentina “White-Washing the country “ ikiwa ni tafsiri ya kutoka lugha ya kispaniola.
Hivyo hatimaye mpaka sasa watu weusi nchini Argentina ni chini ya laki mbili wakiwa takribani asilimia 0.5% kutoka asilimia 48% miaka ya 1800.
Waasisi wa taifa la Argentina waliamini ili taifa lao liendelee lazma liwe na wazungu wengi na WaAfrika wawe chache tu kama sio kuondolewa kabisa.
Timu ya taifa la Argentina
View attachment 1499249
Baadhi ya watu weusi katika Karne ya 19 .
View attachment 1499254View attachment 1499255View attachment 1499256
Hapa bongo wanajeshi wangapi wana asili ya Asia/wahindi,cheki Polisi,jwatz,magereza,TISS,Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina [emoji1033] haina mtu mweusi?.
Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la Amerika Kusini ndiyo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku Brazil ikiongoza ikiwa na watu weusi takribani milioni 120.
Pamoja na hayo yote kitu kimoja cha kushangaza nchi ya Argentina [emoji1033] tofauti na nchi zengine za America kusini ndiyo nchi pekee yenye watu weusi wachache mno. Hili lilitokeaje?.
Watu weusi walikwa mstari wa mbele kwenye vita dhidi ya Paraguay wakiwa na vifaa duni, vita hivyo vilidumu kwa miaka mitano (1865-70), Pia viongozi wa Argentina wa wakati huo walifanya hivyo pia kwenye vita dhidi ya Brazil iliyodumu kwa miaka mitatu.
Baada ya vita hivyo kuisha ambapo Argentina ilipigika vibya mno, Watu weusi waliosalia waliwekwa kwenye maeneo maalumu ambayo kwa kipindi hicho kulikuwa na ugonjwa wa hatari unaosababishwa na bacteria “Plague”.
Watu weusi wengi sana walikufa huku serikali ikiwanyima kwa makusudi matibabu dhidi ya ugonjwa huo.
Maisha ya watu weusi yalikuwa magumu mno mwanzoni mwa miaka ya 1900 wakipitia matatizo kama ukosefu wa chakula cha kutosha,wakiishi katika mazingira hatarishi, wakibaguliwa katika huduma zote za jamii. Kutokana na ugumu huo wa maisha wengi wakaamua kuhamia katika nchi jirani za Brazil, Paraguay, Chile n.k.
Watu pekee waliokuwa angalau wanathaminiwa ni waafrika(weupe) hao hawakubaguliwa sana ila walilazimishwa waowane na wazungu na hivyo kuzaa watoto machotara. Pia hao machotara ilikuwa ni lazma aowane na mzungu na siyo mtu mweusi au chotara mwenzake. Hili lilikuwemo ndani ya sera za Argentina “White-Washing the country “ ikiwa ni tafsiri ya kutoka lugha ya kispaniola.
Hivyo hatimaye mpaka sasa watu weusi nchini Argentina ni chini ya laki mbili wakiwa takribani asilimia 0.5% kutoka asilimia 48% miaka ya 1800.
Waasisi wa taifa la Argentina waliamini ili taifa lao liendelee lazma liwe na wazungu wengi na WaAfrika wawe chache tu kama sio kuondolewa kabisa.
Timu ya taifa la Argentina
View attachment 1499249
Baadhi ya watu weusi katika Karne ya 19 .
View attachment 1499254View attachment 1499255View attachment 1499256
Hapa bongo wanajeshi wangapi wana asili ya Asia/wahindi,cheki Polisi,jwatz,magereza,TISS,
Walioteuliwa wote na Maghu,umeona hata mmoja mwenye asili ya Asia?
Spain pia kuna ubaguzi ila sio wakiwango cha Argentina. Argentina ilinuwia kuondoa watu weusi wote katika ardhi yao.Ni vile tu haikuwezekana.Ohoo.......
Ila hata Spain watu weusi ni nadra sn tofauti na mataifa mengi ya ulaya
Mtoa mada kasema wapo ila ni wachache sanaMkuu Sebastian Veron alikuwa Mzungu ?
Mtoa mada kasema wapo ila ni wachache sana
Kwani timu ya taifa ya TANZANIA ina waarabu wangapi? Achilia mbali wazunguMtoa mada kasema wapo ila ni wachache sana
Kwani Tanzania kuna uhuru?Hao watu laki 2 waje Tanzania tuendeshe maisha kwenye bara letu kuliko kuishi maisha ya kubaguliwa.
Ni heri kuishi maisha huru kwenye nchi masikini kuliko kuishi maisha ya kitumwa kwenye nchi tajiri
Huwezi kupingana na Mungu..... Hitler tu alishindwa azma yake ya kuwaangamiza wayahudiSpain pia kuna ubaguzi ila sio wakiwango cha Argentina. Argentina ilinuwia kuondoa watu weusi wote katika ardhi yao.Ni vile tu haikuwezekana.
Yeah ,apangalo Mungu mwanadamu hawezi lizuia.Huwezi kupingana na Mungu..... Hitler tu alishindwa azma yake ya kuwaangamiza wayahudi
Ni km serikali hii ya kishetani inavyotumia mbinu zake zote haramu kuiandamiza chadema ambayo ipo kwenye mioyo ya watz na ni mpango wa MUNGUYeah ,apangalo Mungu mwanadamu hawezi lizuia.
Wachache ni kuanzia ngapi ?Mtoa mada kasema wapo ila ni wachache sana
So taarifa ni uongo na hayo hayakutokea.Tuanzie hapo.Mtu mweusi hata acha asili yake ya "kulalamika, kuhisi muda wote anatengwa na kubaguliwa.
Hamjaelewa msingi wa bandiko ndio maana mmeenda mpk japani na china.mwingine Huyo hapo Tena huko kwao ana rekodi nyingi tu.
Mleta mada jikite kwenye team za taifa Kama china, Japan, Iceland, Korea kusin, n.k kwanini hazina black players na sio Argentina yenye wachezaji tele weusiView attachment 1499766