Uchaguzi 2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

Kahawa sh 1000 kg halafu unakuja na swaga za humjui magufuli for what? Ninasema kandayaziwa unayoiongelea labda ya chato ss walima kahawa tumeamua kwa kauli moja ni #yeye lisu usituambie kitu alaaaah!
Sio kanda ya Ziwa tu. Huko Songwe, Rukwa na Katavi wamelazimisha wakulima wauze mazao kwa vyama vya Ushirika na wamefukuza wafanyabiashara matokeo yake bei za mazao kama Tumbaku zimeshuka kupindukia na wakulima wamekuwa masikini wa kutupwa.

Sioni namna CCM wanaweza shinda uchaguzi wa mwaka huu. Nasema sioni. Lissu ajiandae tu kuwa raisi wa Tanzania baada ya October 2020
 
Ilikuwa ngome ya Slaa mikoa ya Arusha na Manyara ndie alijenga upinzani Manyara na Arusha.Kilimanjaro mzee mtei ndie alijenga hiyo ngome akamwachia mkwe mbowe

Hiyo Kanda nguvu imesambaratika Baada ya Slaa ,Lowasa na Sumaye kuondoka
Ikitokea Mbowe utakuja tena hapa kusema "sasa kanda ya kaskazini imebomoka maana Mbowe ndo aliijenga, amebaki Lema hana nguvu"

Siku Lema akiondoka utasema "sasa imebomoka maana Lema ndo aliijenga"
Mlimshangilia Kalist Lazalo alipohamia kwenu na kumpa sifa zote matokeo yake mmemtupa baada ya kugundua yeye hakuwa na nguvu yoyote bali chama. Pole sana mkuu!
 
Chadema wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.

Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya Watanzania ndiko wanaishi na ndiyo sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi.

Rais Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko, siyo mijini.

Hata mijini Lissu anajulikana miji michache, hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni, hasa wa Dar es Salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha. Ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni.

Pigo kuu la kubwagwa Lissu litatoka vijijini. Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha. Vijijini huyu Lissu hawamjui.Ofisi za CCM zipo kila kijiji na hakuna mwanakijiji asiyemjua Magufuli ni nani.

Chadema waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lissu litatokea.

Ndiyo maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo; hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi, na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye, ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale. Ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita.

Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake. Anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu Kinondoni; camera imekwepa kabisa kuonesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia. Angalia kamera inawaonesha walioko barabarani tu, ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.

Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu full time.

Angalia usanii wa Chadema Lissu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono.

Ndiyo wakulima wa korosho huku mtwara tunamjua Kama zulumati asiye na aibu,huku Manyara wakulima wa mbaazi tunamjua Kama mtu anayejua kutafuta masoko ya mbaazi sana ,huku Tabora na kigoma tunamjua Kama mtu aliyenunua ndege na kujenga airport kila Kijiji Sasa wanakijiji tunaruka tu na dreamliner, huku Bukoba tunamjua Kama mzee wa ukimwi kwenu,tetemeko kwenu,katerero kwenu.,huku Kilimanjaro,Kagera na kigoma tunamjua Kama mtu aliyedhoofisha sana zao la kahawa,Hapa tabora tunazijua juhudi zake kwenye kuua zao la tumbaku,Yaani kila mkoa unamfahamu kwa aina yake.Itoshe tu kusema Magufuli wa 2015 ni tofauti kabisa na Magufuli wa 2020
 
Ndiyo wakulima wa korosho huku mtwara tunamjua Kama zulumati asiye na aibu,huku Manyara wakulima tuna mjua Kama mtu anayejua kutafuta masoko ya mbaazi,huku Tabora na kigoma tunamjua Kama mtu aliyenunua ndege na kujenga airport kila Kijiji Sasa wanakijiji tunaruka tu na dreamliner, huku Bukoba tunamjua Kama mzee wa ukimwi kwenu,tetemeko kwenu,katerero kwenu.Yaani kila mkoa unamfahamu kwa aina yake.Itoshe tu kusema Magufuli wa 2015 ni tofauti kabisa na Magufuli wa 2020
Na itoshe kusema hakuna namna magufuli atashinda uchaguzi wa mwaka huu. Labda aibe kura na akijaribu tu watu Tupo mtaani. Akiweza atupige risasi wote
 
Mimi nishajiandaa kufa na police wawili au watatu,maana wao hawajui Kama serikali ni ya watanzania na watanzania ndo wanaamua serikali yao aiongoze Nani? Sasa Kama wanadhani wameajiriwa na CCM na Magu wao,nimejiandaa kufa na three of them
 
CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.

Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na Waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya Watanzania ndiko wanaishi na ndiyo sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi.

Rais Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko, siyo mijini.

Hata mijini Lissu anajulikana miji michache, hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni, hasa wa Dar es Salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha. Ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni.

Pigo kuu la kubwagwa Lissu litatoka vijijini. Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha. Vijijini huyu Lissu hawamjui.Ofisi za CCM zipo kila kijiji na hakuna mwanakijiji asiyemjua Magufuli ni nani.

CHADEMA waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lissu litatokea.

Ndiyo maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo; hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi, na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye, ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale. Ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita.

Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake. Anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu Kinondoni; camera imekwepa kabisa kuonesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia. Angalia kamera inawaonesha walioko barabarani tu, ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.

Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu full time.

Angalia usanii wa CHADEMA Lissu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono.

Non-Sense!!
 
Siku Lisu anatua bongo dada zangu waliokuwa wamekuja kwenye msiba wa bibi tokea kasulu vijijini walilazimisha sana niwapeleke airport wakampokee lissu.Labda jamaa Kama anaongelea Kijiji Cha karomije huko kwenu
 
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania

Halafu kuna kanda ya kati hahahaha
 
CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.

Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na Waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya Watanzania ndiko wanaishi na ndiyo sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi.

Rais Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko, siyo mijini.

Hata mijini Lissu anajulikana miji michache, hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni, hasa wa Dar es Salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha. Ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni.

Pigo kuu la kubwagwa Lissu litatoka vijijini. Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha. Vijijini huyu Lissu hawamjui.Ofisi za CCM zipo kila kijiji na hakuna mwanakijiji asiyemjua Magufuli ni nani.

CHADEMA waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lissu litatokea.

Ndiyo maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo; hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi, na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye, ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale. Ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita.

Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake. Anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu Kinondoni; camera imekwepa kabisa kuonesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia. Angalia kamera inawaonesha walioko barabarani tu, ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.

Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu full time.

Angalia usanii wa CHADEMA Lissu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono.

hivi wewe ni mzima kweli???!!!
sio bure utakuwa unatumia makalio kuwaza utopolo wako huu
 
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania
Chama ama mgombea urais akikosa base kanda ya ziwa amekwisha.
 
Na hapa ndipo wanapofeli.
Kwa sisi watembea vijijini aisee,kijani keshamaliza kazi siku mingii.
Maana wa kule ili waamini,wanatakanwaone kile unachokisema sasa na mukulu ndo anatembelea humohumoo.
Nenda Songwe, Katavi, Rukwa na Tabora kwa wakulima wa Tumbaku waambie maneno hayo kama hujapigwa mawe. Kawalazimisha kuuza mazao kwenye vyama vya ushirika na si wafanyabiashara na kupelekea wawe masikini wa kutupwa.

Nenda Lindi, Pwani na Mtwara alafu waambie hayo maneno wakulima wa korosho uone watakufanya nini.

Itoshe kusema Magufuli wenu kafeli kwenye kila kitu. Hakuna namna ataweza shinda uchaguzi wa mwaka huu labda aibe na ikitokea ameiba, wote Tuko mtaani atupige risasi wote
 
Lissu hata watembeza maji kwenye foleni za magari wa hapa Dar hawamjui kabisa,wanamskiaskia tu.
 
Naiona hofu uliyonayo kwa Lissu.
Maneno km haya ni ya mtu hana kazi ya kufanya matokeo yake anaanza kuota ndoto km hizi..jimbo moja tu la watu hata hawazidi 150,000 lilimshinda Lisu, toka awe mbunge wao hata mradi mmoja wa maendeleo jimboni wa kuanzisha yeye kwa juhud zake hakuna..na hawa wanaomshabikia hata tu kuonyesha kuwajali watu wa jimbo lake toka apelekwe kutibiwa hakuna lolote..kipimo cha kujua dalili km CHADEMA iko hai kilikuwa kwenye kuchagua mgombea nafasi ya urais na mwenza, kwa walichofanya hiki chama baada ya uchaguzi kinakufa..kama Lisu na Salum Mwalimu ndiyo watu bora CHADEMA waliobaki si ni majanga!!
 
Huyo "anayejulikana" anajulikana kwa mema au mabaya? Hahahaha basi kazi unayo
anajulikana kwa mema tupu huoni huduma zilivyokuwarahisi sasahivi ona tulivyovuka covid-19wakati hao wapinzani walikuwa wamnalazimisha tujifungie ili tufe wakafie mbali humo hatutaki upinzani usiojitambua kama chadema
 
Mkuu nimecheka hapa

Lisu Hana mradi wa barabara ,umene Wala maji wa kuonyesha kuwa nichagueni nimefanya haya!!! Anaenda na blabla tupu.

Maguifuli akisimama maneno machache tu mnsona hiyo dispensary nzuri mnapopata huduma za afya ? Kazi yangu hiyo

Mnaona hayo maji ya bomba? Mnaona huo umeme? Mnaona hiyo shule nzuri wananu wanasoma bure? No
Lisu akisimama anaanza porojo nipeni kura kwa kuwa nilikuwa naumwa ubelgiji!!!
Siku zote nafahamu we ni popompo leo umedhihirisha ni lofa kweli.huyo atakaenonesha hizo barabara sijui kajenga na hela zake za mfukoni au kodi hizi tunazokatwa na mafao ya wastaafu ambayo hawapewi?
 
Chama ama mgombea urais akikosa base kanda ya ziwa amekwisha.
Mmebaki na hoja mfu ya ukanda tu. Hivi unadhani kanda ya ziwa wote ni wajinga na wana roho za kijinga kama nyie???? Kanda ya Ziwa wapo wanaojielewa na wanaouona ujinga wote wa jiwe wenu na wako tayari kufanya maamuzi ya akili

Yaani kweli magufuli ameishiwa hoja. Hatufai kuwa raisi wa Tanzania. Lazima twende na Lissu mwaka huu
 
Back
Top Bottom