Uchaguzi 2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

Huyo "anayejulikana" anajulikana kwa mema au mabaya? Hahahaha basi kazi unayo
Anajulikana kwa kazi zake..siku hizi watu hawakai vijiweni kama zamani..fursa za kutafuta pesa zimefunguka..watu wamejazana mabarabarani..hakuna tishio la mgambo wala jkt wala traffic.
 
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania
Kanda ya Ziwa ndiko walikovhomewa nyavu na kupasuliwa mitumbwi na Luhaga Mpina kwa baraka za Magufuli, Kanda ya ziwa ndiko walikotaifishwa mifugo na TANAPA, Kanda ya ziwa ndio waliovurugiwa vyanzo vyao vya uchumi kila mahali. Unaongea bila utafiti.
 
Watanzania wa Leo sio wa wakati wa Nyerere . juzi nilikua naangalia taarifa ya habari kwenye kibanda umiza huku kijijini. Iliposomwa habari ya Lissu kupitishwa kugombea huwezi amini ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe wote wakaanza kumshangilia . CCM msijidanganye hamkubaliki hata na ngedere.
 
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania
Huku kanda ya ziwa hata kwa ubunge tuu ccm hawatoboi bila wizi.. itakuwa urais?! Huku Lisu ndo habari ya kanda
 
Chadema wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lisu kushinda wakisema yuko popular sana.Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita

Kitu kimoja wanasahau Lowasa alikuwa waziri mkuu muda mrefu na waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya watanzania ndiko wanaishi ndio sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi

Raisi Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko sio mijini

Hata mijini Lisu anajulikana miji michache hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni hasa wa Dar es salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni

Pigo kuu la kubwagwa Lisu litatoka vijijini .Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha .Vijijini huyu Lisu hawamjui.Ofisi za CCM ZIKO KILA kijiji na hakuna mwanakijij asiyemjua Magufuli ni nani.Chadema waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lisu litatokea

Ndio maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita .Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu kinondoni camera imekwepa kabisa kuonyesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia angalia kamera inawaonyesha walioko barabarani tu ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji!!! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu ful time

Hivi ww ndo ulisema akitua nchini tu unakula kichwa?
 
Mkuu binafsi sijaona sababu ya kumpa/ kumpigia kura. Kwa anayoyafanya Magufuli sioni kama ataweza hata nusu.
 
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania
Acha uongo. Mbona mimi nipo kanda ya ziwa hata kumsikia tu jina lake huyo jiwe hatutaki.
 
Kilimanjaro na Arusha wengi walichoma kadi za kupigia kura na kuapa hawaji piga kura baada ya Lowasa kupigwa chini nenda mwenyewe kawahoji Chadema waliopiga kura 2015 hawataki kupiga kura tena.Kazi mnayo kuwahamasisha warudi kupiga kura tena

Nendeni wenyewe mkahoji muwaulize Chadema waliopiga kura 2015 kuwa utaenda kupiga kura?

Mikoa hiyo ya kaskazini ilikuwa ngome ya Lowasa aki ji brand kama mwamba wa kaskazini na alishinda kura nyingi za asante mwanetu .Lisu sio brand nane ya kaskazini ,Hana brand name kanda yeyote!! Magufuli ni Brand Name ya Kanda ya Ziwa.Tundu Lisu hakujenga brand name hata ya kanda yake tu ili akitaka kugombea uraisi awe ana brand kubwa na ngome kanda fulani!! kwake hakuijenga hana kanda!! anategemea abebwe mgongoni na mbeleko kwenye hizo kanda!!! Na mbowe uwezo wa kumbeba Lisu kanda ya kaskazini mwisho kilimanjaro .Arusha na Manyara ni ngome za Lowasa na Sumaye ambao chadema waliondoka bila hata kuambiwa asante .Wenyewe wana hasira na Chadema wenye watoto wao hivyo Mbowe ubavu hana wa kumbeba Lisu Mikoa ya Arusha na Manyara.Masai mtu wao Lowasa ambaye CHadema walimtema Lisu Hawamjui

Kanda zingine zote hakuna kiongozi mwenye brand name wa kumbeba Lisu Ukiondoa tu Mbowe lakini kanda zingine hamna kitu watu wanajulikana tu kwenye majimbo yao Sio kanda .Lisu angekuwa alijiandaa uraisi alitakiwa kujenga brand name very strong walau kwenye kanda moja na kuwa household name .Kujihakikishia kuwa hiyo kanda ndio ngome yake ya kumbeba lakini hana! anategemnea kura za huruma za kuokoteza hapa na pale!!! Very wrong political strategy

Kiufupi hakujiandaa kuwa Raisi .Duniani kote hakuna uraisi wa kushtukiza watu hujiandaa kwa muda mrefu kwa strategy strong
Naona xaxa umechanganyikiwa et lowassa ndo kanda ya kaskazini ,,,kabla ya ujio wa lowassa chadema kaskazini ilikuwa tayari ngome ya chadema ndo maana Mara zote maccm wanadhiriki kukiita chama cha kaskazini
 
Unaposema kanda ya ziwa wanamkubali magufuli umelithibitishaje ,,, c ndo kule aliwadhihaki kuwa yeye hajaleta tetemeko wakati watu wakiomba msaada kagera,,pia yule aliyeulizwa akasimama na kusema serikali haina shamba huku watu wakiteseka alikuwa anawaambia watu wa kanda IPI? Hizo bangi zako peleka huko Magufuli ana kazi kubwa hata Chato kura hapati
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania
 
Chadema wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lisu kushinda wakisema yuko popular sana.Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita

Kitu kimoja wanasahau Lowasa alikuwa waziri mkuu muda mrefu na waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya watanzania ndiko wanaishi ndio sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi

Raisi Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko sio mijini

Hata mijini Lisu anajulikana miji michache hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni hasa wa Dar es salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni

Pigo kuu la kubwagwa Lisu litatoka vijijini .Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha .Vijijini huyu Lisu hawamjui.Ofisi za CCM ZIKO KILA kijiji na hakuna mwanakijij asiyemjua Magufuli ni nani.Chadema waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lisu litatokea

Ndio maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita .Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu kinondoni camera imekwepa kabisa kuonyesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia angalia kamera inawaonyesha walioko barabarani tu ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji!!! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu ful time
Angalia usanii wa Chadema Lisu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono .

unajidanganya! By the way mamvi mlimuibia kura kama kawaida yenu ya kuiba nyie! Huyu haibiwi poleni! Muda wa kusaga jiwe na kulitupa baharini umefika count days1,2,3.4,5-----
 
Kanda ya kusini tumedhulumiwa korosho zetu,kaskazini hana chake miaka na miaka kule ata kabla ya lowassa arusha manyara na Kilimanjaro ndo chadema ilipokuwa inajizoleaga ushindi,kanda ya ziwa hela za msaada wakat wa tetemeko alipeleka kwenye miradi ya serikali huku akisema hajaleta tetemeko na kila moja apambane mwenyewe ,kigoma kule naamini pia upinzani upo,Dar-es salaam( sehemu yenye population nyingi) upinzani ,Mbeya ndo usiseme xaxa huyo mwamba wenu anabaki na kanda ya kati ambayo kuna Lissu kule na Nyalandu ndo ataelewa show
 
Chadema wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lisu kushinda wakisema yuko popular sana.Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita

Kitu kimoja wanasahau Lowasa alikuwa waziri mkuu muda mrefu na waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya watanzania ndiko wanaishi ndio sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi

Raisi Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko sio mijini

Hata mijini Lisu anajulikana miji michache hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni hasa wa Dar es salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni

Pigo kuu la kubwagwa Lisu litatoka vijijini .Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha .Vijijini huyu Lisu hawamjui.Ofisi za CCM ZIKO KILA kijiji na hakuna mwanakijij asiyemjua Magufuli ni nani.Chadema waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lisu litatokea

Ndio maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita .Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu kinondoni camera imekwepa kabisa kuonyesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia angalia kamera inawaonyesha walioko barabarani tu ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji!!! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu ful time
Angalia usanii wa Chadema Lisu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono .

Utambulisho wa TL kwa asiyemjua ni YULE ALOPIGWA RISASI
 
We jana ulisema Nyalandu atashinda? Imekuwaje tena?
 
Hahaaaa bangi ikipanda kichwani ndo ipo hivo kumbe kule mwamba Mbowe ndo ngome yake ndo maana ata hapigagi kampeni xana maana wanamjua na bado yupo _,,Kama ilikuwa ngome ya slaa alipoondoka 2015 basi chadema ingekufa kule
Ilikuwa ngome ya Slaa mikoa ya Arusha na Manyara ndie alijenga upinzani Manyara na Arusha.Kilimanjaro mzee mtei ndie alijenga hiyo ngome akamwachia mkwe mbowe

Hiyo Kanda nguvu imesambaratika Baada ya Slaa ,Lowasa na Sumaye kuondoka
 
Ajieleze hali ya maisha atutoaje kutoka hapa.
 
Aliibiwa kura kituo kipi Cha kupigia kura kitaje hata kimoja tu

Chadema mna utoto Sana mnaweka mawakala wenu chumba Cha kuhesabu kura zinapoibiwa hao mawakala wenu huwa wanakuwa wamelala au wamekufa?

Miiambiwa onyesheni kituo gani mliibiwa kura mnaufyata
Leta ushindi wa jiwe jimbo kwa jimbo! vile vile tupe zile computer zetu mlizopora mlimani city! Sasa BASI!
 
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania
Mkuu Chadema wanachotaka ni ruzuku full stop. Hapa zinatafutwa kura za wabunge na za Rais kwa ajili ya kupata ruzuku. Hii ya kushika dola wanawazuga tu wao, wanajua fika mgombea walienae hana uwezo wa kushinda.
 
Back
Top Bottom