Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Naomba niwe mkweli kwa roho na mwili sababu kuu ya watanzania kutokuendelea ni tabia yetu ya unafiki.
Siamini macho yangu Kama kwa madudu yote ya awamu ya tano bado Kuna watu wanasabotage upinzani imara.
Mheshimiwa Mbowe nakuomba Sana uwe na moyo mkuu utapita kwenye kila changamoto Ila ujue Kuna watu wanakupenda na wanakipenda chama Chao kilichowatetea miaka ishirini Sasa.
Binafsi naapa kuwa mmoja wa wapenzi watiifu wa kuiondoa CCM madarakani kwa njia za halali kwa manufaa ya nchi.
CCM ni chama ambacho watanzania tungekuwa na akili 90% ya viongozi wake wangekuwa magerezani Leo.
Israel hawana utani na watu wa aina ya CCM walimfunga waziri wao mkuu ehud olmert nasasa Benjamin netanyahu aka Bibi anawekewa zengwe afungwe sisi huku tunaichekea CCM na matamahuluku yake .
Tanzania mchawi wake ni mtanzania.