Naangalia jinsi Tanzania inavyofukuza wataalamu na kuwawekea zengwe inaumiza Sana mwele malechela na huyu wa vipimo dah inauma Sana Kama kulikuwa na shida kwanini wasingeitwa behind the curtain mpaka mnawashushia credibility ila mkitaka muone mnavyochukiwa duniani huyu dada msipomnyang'anya passport ataondoka na kwenda kutumiwa na wengine dah aiseee mjenga nchi ni mwananchi na mbomoa nchi ni mwananchi.
Wao CCM wameisifia hio Chadema lini?Kama chadema sio wanafki basi waseme hata mazuri maana walipigia kelele sana yafanyike
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawasifia watu wanaowaza hujuma tuWao CCM wameisifia hio Chadema lini?
Kabisa tatizo kuu la Mama TANZANIA ni;Naomba niwe mkweli kwa roho na mwili sababu kuu ya watanzania kutokuendelea ni tabia yetu ya unafiki.
Siamini macho yangu Kama kwa madudu yote ya awamu ya tano bado Kuna watu wanasabotage upinzani imara.
Mheshimiwa mbowe nakuomba Sana uwe na moyo mkuu utapita kwenye kila changamoto Ila ujue Kuna watu wanakupenda na wanakipenda chama Chao kilichowatetea miaka ishirini Sasa.
Binafsi naapa kuwa mmoja wa wapenzi watiifu wa kuiondoa CCM madarakani kwa njia za halali kwa manufaa ya nchi.
CCM ni chama ambacho watanzania tungekuwa na akili 90% ya viongozi wake wangekuwa magerezani Leo.
Israel hawana utani na watu wa aina ya CCM walimfunga waziri wao mkuu ehud olmert nasasa Benjamin netanyahu aka Bibi anawekewa zengwe afungwe sisi huku tunaichekea CCM na matamahuluku yake .
Tanzania mchawi wake ni mtanzania.
Kasome kwanza hiki ukimaliza niambie...Naomba niwe mkweli kwa roho na mwili sababu kuu ya watanzania kutokuendelea ni tabia yetu ya unafiki.
Siamini macho yangu Kama kwa madudu yote ya awamu ya tano bado Kuna watu wanasabotage upinzani imara.
Mheshimiwa mbowe nakuomba Sana uwe na moyo mkuu utapita kwenye kila changamoto Ila ujue Kuna watu wanakupenda na wanakipenda chama Chao kilichowatetea miaka ishirini Sasa.
Binafsi naapa kuwa mmoja wa wapenzi watiifu wa kuiondoa CCM madarakani kwa njia za halali kwa manufaa ya nchi.
CCM ni chama ambacho watanzania tungekuwa na akili 90% ya viongozi wake wangekuwa magerezani Leo.
Israel hawana utani na watu wa aina ya CCM walimfunga waziri wao mkuu ehud olmert nasasa Benjamin netanyahu aka Bibi anawekewa zengwe afungwe sisi huku tunaichekea CCM na matamahuluku yake .
Tanzania mchawi wake ni mtanzania.
Asante sana.Naomba niwe mkweli kwa roho na mwili sababu kuu ya watanzania kutokuendelea ni tabia yetu ya unafiki.
Siamini macho yangu Kama kwa madudu yote ya awamu ya tano bado Kuna watu wanasabotage upinzani imara.
Mheshimiwa Mbowe nakuomba Sana uwe na moyo mkuu utapita kwenye kila changamoto Ila ujue Kuna watu wanakupenda na wanakipenda chama Chao kilichowatetea miaka ishirini Sasa.
Binafsi naapa kuwa mmoja wa wapenzi watiifu wa kuiondoa CCM madarakani kwa njia za halali kwa manufaa ya nchi.
CCM ni chama ambacho watanzania tungekuwa na akili 90% ya viongozi wake wangekuwa magerezani Leo.
Israel hawana utani na watu wa aina ya CCM walimfunga waziri wao mkuu ehud olmert nasasa Benjamin netanyahu aka Bibi anawekewa zengwe afungwe sisi huku tunaichekea CCM na matamahuluku yake .
Tanzania mchawi wake ni mtanzania.
Naunga mkono hoja,, Pole pole na Bashiru waione kwenye Jalada,,,,maana KABLA ya Uteuzi walikua na hoja nzuri lakin leo wanaongea kama wanatumia makalio UNAFIKINaomba niwe mkweli kwa roho na mwili sababu kuu ya watanzania kutokuendelea ni tabia yetu ya unafiki.
Siamini macho yangu Kama kwa madudu yote ya awamu ya tano bado Kuna watu wanasabotage upinzani imara.
Mheshimiwa Mbowe nakuomba Sana uwe na moyo mkuu utapita kwenye kila changamoto Ila ujue Kuna watu wanakupenda na wanakipenda chama Chao kilichowatetea miaka ishirini Sasa.
Binafsi naapa kuwa mmoja wa wapenzi watiifu wa kuiondoa CCM madarakani kwa njia za halali kwa manufaa ya nchi.
CCM ni chama ambacho watanzania tungekuwa na akili 90% ya viongozi wake wangekuwa magerezani Leo.
Israel hawana utani na watu wa aina ya CCM walimfunga waziri wao mkuu ehud olmert nasasa Benjamin netanyahu aka Bibi anawekewa zengwe afungwe sisi huku tunaichekea CCM na matamahuluku yake .
Tanzania mchawi wake ni mtanzania.
Na mnawalipa ruzuku ili waendelee kuwahujumu?, Hopeless
Mkuu sio ukweli unaosema wewe bali ukweli aliyosema yeye.Yeye ndio kila kitu.Naomba niandike haya ili tuweke kumbu kumbu sawa.
1. Mimi ni mfanyakazi wa maabara kuu ya taifa kwa miaka sita sasa kwahyo kwa sehemu ninafahamu nini kinaendelea hapa.
2. Tumekua kimya na kwa sababu ambazo zipo wazi tumeamua kufanya kazi kwa uwezo wetu wote ili kuwasaidia watanzania katika kipindi hiki kigumu cha ugonjwa huu wa mlipuko.
Swali la kujiuliza ni kweli kuna uhujumu wowote unaofanywa na hii maabara? Na kama upo je ni kwa faida ya nani? Pengine kamati ilioundwa inaweza kuja na majibu lakini kabla ya hayo majibu tujiulize kama inaweza kwenda kinyume na kile alichokisema mkuu?
Nimeamua kuandika baada ya kuwepo kwa mijadala mingi mitandaoni ikijaribu kuwaza juu ya ubora wa maabara yetu na vipimo vyake, na kama mfanyakazi wa maabara hii niliposikia hili kwa mara ya kwanza kabisa nlistuka na leo asubuhi nikawahi kwenye database ya wagonjwa wote waliopimwa na kujaribu kuangalia kama kweli hayo yanayosemwa kama ni ya kweli au la?
Cha kushangaza ni kuwa hakuna hata jina moja lililotajwa na mheshimiwa jana lipo kwenye database yetu hapa! Wengi wa wanaofanya kazi maabara wanajua kuwa wakati mwingine mfumo unaotumika ni wa sample kuwa na patient numbers na hivyo kufanya vigumu kutrace majina ya mgonjwa kama huna hiyo patient number kwenye system. Yes! Lakini nimefuatilia majina yote yaliyotajwa jana kuanzia mapokezi hadi sehemu majibu yanatolewa nimeshindwa kuliona jina hata moja!
Nikasema ngoja nijisumbue, nikamtafuta mtu wa IT anisaidie kama naweza pata majina hayo lakini kwa kushirikiana nae tumekosa kuona jina hata moja!
Mwisho nimebaki kuwa na maswali mengi sana
1. Je mh raisi alidanganywa? Je waliomdanganya walifanya hivo kwa maslahi ya nani?
2. Je mh raisi alikuwa anafanya propaganda kuhamisha mjadala? Kwa hili amefanikiwa.
Kitu ambacho wengi wenu hamuwezi kujua ni kuwa sample ikiletwa hapa tunazitenganisha za wale waliokwisha fariki(ambazo ni nyingi) na zile za wagonjwa wakawaida waliopo wodini
Na kwa sababu ya udogo wa mortuary facilities zetu tuliombwa kuzifanyia kazi za wale waliokwisha kufa ili wazikwe mapema! Na naweza kusema ni wengi sana wanaokufa kwa ugonjwa huu! Ukichukua sample kumi za wagonjwa waliokufa basi sita hadi nane zinakuwa positive!
Mengine tukae kimya tusubiri mda utuamulie la kusema
huyu ni mfanyakazi wa maabara ya taifa anatufungua macho.
Hasa viongozi wa dini ndio wanaongoza kutwa kucha kuabudu chama cha kikomunisti kuliko kuhubiri kweli wanaangalia maslai ya dunia kuliko ya ahera.Naomba niwe mkweli kwa roho na mwili sababu kuu ya watanzania kutokuendelea ni tabia yetu ya unafiki.
Siamini macho yangu Kama kwa madudu yote ya awamu ya tano bado Kuna watu wanasabotage upinzani imara.
Mheshimiwa Mbowe nakuomba Sana uwe na moyo mkuu utapita kwenye kila changamoto Ila ujue Kuna watu wanakupenda na wanakipenda chama Chao kilichowatetea miaka ishirini Sasa.
Binafsi naapa kuwa mmoja wa wapenzi watiifu wa kuiondoa CCM madarakani kwa njia za halali kwa manufaa ya nchi.
CCM ni chama ambacho watanzania tungekuwa na akili 90% ya viongozi wake wangekuwa magerezani Leo.
Israel hawana utani na watu wa aina ya CCM walimfunga waziri wao mkuu ehud olmert nasasa Benjamin netanyahu aka Bibi anawekewa zengwe afungwe sisi huku tunaichekea CCM na matamahuluku yake .
Tanzania mchawi wake ni mtanzania.
Alikuwa anamjibu Mbowe na kumlipa fadhila aliyesema kwani ni nesiNaomba niandike haya ili tuweke kumbu kumbu sawa.
1. Mimi ni mfanyakazi wa maabara kuu ya taifa kwa miaka sita sasa kwahyo kwa sehemu ninafahamu nini kinaendelea hapa.
2. Tumekua kimya na kwa sababu ambazo zipo wazi tumeamua kufanya kazi kwa uwezo wetu wote ili kuwasaidia watanzania katika kipindi hiki kigumu cha ugonjwa huu wa mlipuko.
Swali la kujiuliza ni kweli kuna uhujumu wowote unaofanywa na hii maabara? Na kama upo je ni kwa faida ya nani? Pengine kamati ilioundwa inaweza kuja na majibu lakini kabla ya hayo majibu tujiulize kama inaweza kwenda kinyume na kile alichokisema mkuu?
Nimeamua kuandika baada ya kuwepo kwa mijadala mingi mitandaoni ikijaribu kuwaza juu ya ubora wa maabara yetu na vipimo vyake, na kama mfanyakazi wa maabara hii niliposikia hili kwa mara ya kwanza kabisa nlistuka na leo asubuhi nikawahi kwenye database ya wagonjwa wote waliopimwa na kujaribu kuangalia kama kweli hayo yanayosemwa kama ni ya kweli au la?
Cha kushangaza ni kuwa hakuna hata jina moja lililotajwa na mheshimiwa jana lipo kwenye database yetu hapa! Wengi wa wanaofanya kazi maabara wanajua kuwa wakati mwingine mfumo unaotumika ni wa sample kuwa na patient numbers na hivyo kufanya vigumu kutrace majina ya mgonjwa kama huna hiyo patient number kwenye system. Yes! Lakini nimefuatilia majina yote yaliyotajwa jana kuanzia mapokezi hadi sehemu majibu yanatolewa nimeshindwa kuliona jina hata moja!
Nikasema ngoja nijisumbue, nikamtafuta mtu wa IT anisaidie kama naweza pata majina hayo lakini kwa kushirikiana nae tumekosa kuona jina hata moja!
Mwisho nimebaki kuwa na maswali mengi sana
1. Je mh raisi alidanganywa? Je waliomdanganya walifanya hivo kwa maslahi ya nani?
2. Je mh raisi alikuwa anafanya propaganda kuhamisha mjadala? Kwa hili amefanikiwa.
Kitu ambacho wengi wenu hamuwezi kujua ni kuwa sample ikiletwa hapa tunazitenganisha za wale waliokwisha fariki(ambazo ni nyingi) na zile za wagonjwa wakawaida waliopo wodini
Na kwa sababu ya udogo wa mortuary facilities zetu tuliombwa kuzifanyia kazi za wale waliokwisha kufa ili wazikwe mapema! Na naweza kusema ni wengi sana wanaokufa kwa ugonjwa huu! Ukichukua sample kumi za wagonjwa waliokufa basi sita hadi nane zinakuwa positive!
Mengine tukae kimya tusubiri mda utuamulie la kusema
huyu ni mfanyakazi wa maabara ya taifa anatufungua macho.
8 Kati ya 10 mpuuzi sana huyu akawadanganye wajinga wenzake Inamaana 80/100 wana corona hii haipo duniani kote kuwa waliopo karantini wazidi wagonjwa hata USA hakuna hiloNaomba niandike haya ili tuweke kumbu kumbu sawa.