Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Mimi ni Muislamu LAKINI amini nakwambia achana kabisa na huyo mtu aitwae Yesu. He is something else.
Yesu atabaki kuwa Yesu.
Kuhusu Wayahudi kutokumkubali isikuchanganye SANA mkuu, hata Yesu mwenyewe alisha sema Nabii hakubaliki kwao.
Mambo ya imani yako tricky kidogo. Kila mtu na aamini anachodhani ni sahihi.
Bila shaka... Ndiyo maana katika kuongea nao Mungu alikuwa anaanza kwa kujitambulishaUNA UHAKIKA ZAMANI WALIKUWA WANAZALIWA BILA DHAMIRI KWAMBA KUNA MUUMBAJI NA SASA NDO WANA DHAMIRI YA KUMJUA MUNGU???
Sema wayahudi/israel tuwape heshima yao Aisee...Ni kataifa kadogo sana na wala hakajawahi kutawala dunia, sanasana kenyewe ndiyo kalikuwa kanaonewa na kutawaliwa.
Lakini pamoja na hayo bado kamefanikiwa kutengeneza dini kuu 3 ambazo zinatawala dunia sasa (Uyahudi,Ukristo na Uislam)
Hivyo influence ya hako kataifa kadogo itadumu kuliko mataifa makubwa yaliyotawala dunia kama Ugiriki,Uyunani,Uajemi,Rumi,Uingereza,Ujerumani,USA nk. nk.
Watu hawaamini, hawasali, madhambi yametuzidi ni anasa tu huyo Masiha atakaa kweli kwangu au kwako tukiwa na maisha ya dhambi.
Sasa Waisrael wa Nzega wanaoamini kua Yahudi ni dini moja na wao itakuaje?
Huyo Mungu mwenyewe hayupo, uwepo wake ni hadithi za watu tu.
Labda tunatofautiana kwenye dhana ya kumjua MUNGU ndio maana unadiriki kusema kuna watu wanazaliwa wakiwa hawamjui MUNGu, lakini ukweli ni kuwa kila mtu anamjua MUNGU hata bila kusikia habari zake.Sio kweli.wapo Watu hawaamini na hawajui kuwa kuna MUNGU.
Yaani hata hiyo dhana tuu ya Mungu hawajawahi hata kuisikia. Watu wa hivyo wapo.
Watu wangekuwa wanamjua Mungu tangu wakiwa wadogo zisingekuwepo Dini
Am.a muslim bro. Sijamezeshwa chochote na YOYOTE..I have experience.Hapa tunachojadili ni hoja za Wayahudi wenyewe.
Yesu he is something else Kwa sababu umeshamezeshwa hivyo.
Labda tunatofautiana kwenye dhana ya kumjua MUNGU ndio maana unadiriki kusema kuna watu wanazaliwa wakiwa hawamjui MUNGu, lakini ukweli ni kuwa kila mtu anamjua MUNGU hata bila kusikia habari zake.
Kumjua Mungu ni ile hali ya kuuishi upendo wa kristo katika maisha yetu. Maana nyepesi ni kufanya matendo yale unayopenda kufanyiwa.
Sasa hebu jiulize kama kuna mtu anazaliwa anapenda kuibiwa, kuchapiwa mke, mtoto wake kufanyiwa mapenzi kinyume na maumbile pamoja na maovu yote; Bila shaka hayupo.
Na kwa wale wanao fanya huo uovu wanafanya kwa kuenda kinyume na dhamiri za roho zao yani wanafanya huku wakijua kuwa wanafanya jambo lisilostahili kufanywa.
Kwa maana hiyo ya kumjua MUNGU basi kila mtu anazaliwa akiwa anamjua, bila kujali ataingia kanisani au la
Am.a muslim bro. Sijamezeshwa chochote na YOYOTE..I have experience.
Google uliza kwanini wasomi wa degree za juu kabisa za masonic wanamuita Yesu "Master Jesus*
Udhibitisho tafadhaliSema wayahudi/israel tuwape heshima yao Aisee...Ni kataifa kadogo sana na wala hakajawahi kutawala dunia, sanasana kenyewe ndiyo kalikuwa kanaonewa na kutawaliwa.
Lakini pamoja na hayo bado kamefanikiwa kutengeneza dini kuu 3 ambazo zinatawala dunia sasa (Uyahudi,Ukristo na Uislam)
Hivyo influence ya hako kataifa kadogo itadumu kuliko mataifa makubwa yaliyotawala dunia kama Ugiriki,Uyunani,Uajemi,Rumi,Uingereza,Ujerumani,USA nk. nk.
hoja zao zote ni za kijinga sana.
a) kwamba hakushusha utawala wa Mungu,hapa walirenga nini wakati Yesu amekuja kama Mungu akakaa kwetu,tukauona utukufu wa Mungu??walitaka Mungu ashushe malaika wawe wanajaeshi ama??
b)hakutokana na ukoo wa daudi lakini mama yake ni wa ukoo huo mariam,hawa wavuta bangi walitaka azaliwe masihi kutokana na wao halafu ashushe utawala wa Mungu[emoji38][emoji38],bangi ni janga.
c) masihi lazima warudishe waisrael wote waliotawanyika,hapa wanajipa umuhimu zaidi ya mataifa mengine mbele za Mungu,hata hapo walipo wamerudishwa kibabe aliyewarudisha ndiye masihi wao???ni nani??
d) magonjwa na taabu-hapa sio paradiso ni duniani magonjwa na taabu ziko pale pale,na kama hawatampokea hata huko paradiso watapasikia kwenye simu.
NITARUDI KUKUJIBU.
LAKINI WEWE MWEUPE SANA KWENYE BIBLE.
HUJASOMA VIZURI BIBLE, HUJASOMA DHAMBI, YANI KWA KIFUPI HUIJUI BIBLE.
Ila binafsi nimesoma sana sana sana Yesu.
Nimesoma Yesu kupita maelezo.
Yesu ni mwamba Mno.
Hakika nitarudi nijibu vi hoja vyako.
Ngoja wafuasi wa parokiani na wafuasi wa mwamposa wanene kwa lugha uone