Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Kama degree inatoa chura endelea kujaza kichwa yako pumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.
Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.
Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa.
Kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
Mkuu elimu ya kati ndiyo ipi hiyo?Wakati ninaoa sikuangalia kabisa kigezo cha elimu na sitamshauri mtu aangalie hicho kigezo maana inaonesha wanawake wenye elimu ya kati ndio wenye ndoa bora kuliko wanawake wenye elimu kubwa
Hahahaha...mkuu kwa hiyo wewe umeoa wa hivyo?Nani kagudanganya.waliosoma ivo ni wa miaka ya 90. Saivi kusoma ni Kazi rahisi mnoo.
Ukitaka mvumilivu tafta mbagaizaji aliefeli shule hutajuta wanaelewa moto wa maisha ulivomkali
Na ni mdogo tena kwelikweli, bonge la popoma, hafai hata kuwa balozi wa nyumba 10.yani we jamaa upeo wako wa kufikiria ni mfupi kuliko hata kucha za country boy.........baki na mawazo yako mgando.....
Mkuu, ukweli ni upi/ Kwa mtazamo wako lakini, je, umeoa ambaye ameishia la saba?Na ni mdogo tena kwelikweli, bonge la popoma, hafai hata kuwa balozi wa nyumba 10.
Na kweli average mind wote ni povu tupu..!wenye akili tu ndiyo watakuelewa.
Chanzo kikuu cha migogoro ya ndoa ni kutowakojoza vizuri wanawake.Kama mkeo una mkojoza vizuri wala hawezi kukuletea dharauMkuu, kama ya kuja na hilo hitimisho lako ungefanya pia ka utafiti kadogo ili ujue wenye migogor ya ndoa na hadi kuachana kati ya wenye degree na sio na degree ikoje? That is one, the second thing is, kitu kinacho itwa kupenda kiache hivyo hivyo tu, unaweza jikuta una date na wasichana wenye degree wengi tu halafu wala hakuna kati yao unae mpenda, unajikuta/utajikuta umempenda mwanamke ambaye wala hukumfikiria katika akili zako, sikuwahi kudhani kama ningeoa mwanamke ambaye sio wa kabila langu, maisha bwana, yaani nilijikuta nimempenda mtoto Fulani hivi wa KIHA kule kijijini kwa kina Zitto kabwa na ndie nilikuja kumuoa na ninae hadi leo, hawakukosea wale walio sema PENZI ni kama ndege, hutua mti wowote autakao, yaani hua hapangi atue wapi, hutokea tu.
Nijuavyo mimi,,,, bibi zangu hawakusoma ila hadi babu zangu wamemalza safari zao dunian walikua pamoja,mtoa mada umekula maharage ya wapi???Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.
Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.
Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
Kadada wewe uko vizuri kichwani tuyajenge??(Wengine wako busy na wenye vyura,
Hapo daraja la form 4_lilikuwa kubwa na ukabahatika kuolewa kwa sifa ya chura ukahisi maisha ni mapesi hivyo..! Muulize asiye na chura afu hajasoma...wonders shall never end