Sababu kwanini siwezi kuoa mwanamke ambae hana degree

Uzuri ni kwamba kati ya waliojibu huu uzi na wanawake wapo,

Hivyo mleta mada jaribu kutafakari tena ulichoandika
 
Mkuu, kama kabla ya kuja na hilo hitimisho lako ungefanya pia ka utafiti kadogo ili ujue wenye migogoro ya ndoa na hadi kuachana kati ya wenye degree na sio na degree ikoje? That is one, the second thing is, kitu kinacho itwa kupenda kiache hivyo hivyo tu, unaweza jikuta una date na wasichana wenye degree wengi tu halafu wala hakuna kati yao unae mpenda, unajikuta/utajikuta umempenda mwanamke ambaye wala hukumfikiria katika akili zako, sikuwahi kudhani kama ningeoa mwanamke ambaye sio wa kabila langu, maisha bwana, yaani nilijikuta nimempenda mtoto fulani hivi wa KIHA wa kule kijijini kwa kina Zitto Kabwe na ndie nilikuja kumuoa na ninae hadi leo, hawakukosea wale walio sema PENZI ni kama ndege, hutua mti wowote autakao, yaani hua hapangi atue wapi, hutokea tu.
 


cc: Wema Sepetu, Hamisa Mobetto, Aunt Ezekiel, Martin Kadinda, Ben Kinyaiya
 
Hahahaha
Nani kagudanganya.waliosoma ivo ni wa miaka ya 90. Saivi kusoma ni Kazi rahisi mnoo.
Ukitaka mvumilivu tafta mbagaizaji aliefeli shule hutajuta wanaelewa moto wa maisha ulivomkali
Hahahaha...mkuu kwa hiyo wewe umeoa wa hivyo?
 
Chanzo kikuu cha migogoro ya ndoa ni kutowakojoza vizuri wanawake.Kama mkeo una mkojoza vizuri wala hawezi kukuletea dharau
 
Nijuavyo mimi,,,, bibi zangu hawakusoma ila hadi babu zangu wamemalza safari zao dunian walikua pamoja,mtoa mada umekula maharage ya wapi???
 
Omba Mungu upate MTU sahihi hawa wa degree tumeshawapima mno kaka .
 
wonders shall never end
Hapo daraja la form 4_lilikuwa kubwa na ukabahatika kuolewa kwa sifa ya chura ukahisi maisha ni mapesi hivyo..! Muulize asiye na chura afu hajasoma...
 
Kwani degree na phd ni nini? Qualification za ndoa nazozijua haipo kitu inaitwa degree wala phd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…