Sababu kwanini siwezi kuoa mwanamke ambae hana degree

Waingereza wana misemo mizuri, mmojawapo ni huu unao-address uliyoyandika "utter nonsense"
 
Mke mwema anatoka kwa Mungu. Cha msingi tu ni kumuomba Mungu akupe mke mwema haijalishi ana elimu gani ili usije ukajuta baadae.
Bila shaka wewe nsimboz u mke mwema si ndiyo??
 
Form alikuwa mpenzi, halikadhalika f2,3,4,5,6. Jumla 6 chuo kila mwaka alikuwa na wawili x3=6. Ushajua katembea na wanaume wangap? Nadhan 12. Wewe wa kumi na tatu. Kweli ni mvulivu aisee. Hongera kwa maana na wewe ni mvumilivu.
 
Mkuu, ukweli ni upi/ Kwa mtazamo wako lakini, je, umeoa ambaye ameishia la saba?
Hakuna changamoto zozote wanazokutana nazo chuoni zaidi ya kubadili kila aina ya mb*o na kutoa mimba kila kukicha, wana ile slogan ya "Usiruke stage" hii inawaharibu sana, Mimi sijaoa ila natarajia kuoa aliyeishia form 4 au six then kama atahitaji kusoma atasoma huku analea watoto wangu, End.
 
Mamaako ana degree?
Tuanzie hapo.
 
Ooh shukrani kwa majibu yako. Je, kama angekuwa ameishia la saba, halafu wewe labada una digrii, ungeweza kuoa? Au kwako form four ni at least?
 
Form alikuwa mpenzi, halikadhalika f2,3,4,5,6. Jumla 6 chuo kila mwaka alikuwa na wawili x3=6. Ushajua katembea na wanaume wangap? Nadhan 12. Wewe wa kumi na tatu. Kweli ni mvulivu aisee. Hongera kwa maana na wewe ni mvumilivu.
Hakuna mwanamke ambae hajapitia hayo yote
 
Waingereza wana misemo mizuri, mmojawapo ni huu unao-address uliyoyandika "utter nonsense"
There is sense in every nonsense .Ukitaka kuprove what am saying just remove the non part of it and see what u remain with
 
Chanzo kikuu cha migogoro ya ndoa ni kutowakojoza vizuri wanawake.Kama mkeo una mkojoza vizuri wala hawezi kukuletea dharau
Upo sawa mkuu LIKUD, nimeishi kwenye ndoa nina miongo sasa, najua hilo unalolisema but again endelea tu hi research niliokwambia.
 
Unapotea bro !
 

Acha wehu kijana, jambo kuu linalomfanya mwanaume atafute "mke" ni kupata mwanamke atakayeweza kumtengenezea familia, kuiangalia na kuilea kwenye njia anazotaka mwanaume.

Hayo mengine ni upuuzi tu..... we unataka mwanamke mwenye elimu kwani wewe ni kampuni ya ajira au unataka kuanzisha kituo cha elimu?
Mwingine unakuta anataka mwanamke anayejua biashara..... sasa hapo mtu mwenye akili lazima ujiulize huyu anataka bussines partner au mke....

Mwanaume atamtengeneza mwanamke amtakaye..... full stop
 
Inategemea na ww una level gan ya elimu, km umesoma oa msomi mwenzio km hujasoma oa asiesoma km ww, hupati tabu
 
Na idadi kubwa ya wanawake wa chuo hawawezi kulea familia kutokana na impact za chuo.
 
Quality and not quantity
 
Nadhani katika threads zisizokua na maana kwa mwaka 2018 hii thread yako inakua No 1.

Anyway mawazo yako nayaheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…