Sababu mojawapo kuu ya kutahiri ni kuweza kutumia condom, Mtu mwenye mkono wa sweta hawezi kutumia condom hivyo yupo hatarini zaidi kupata magonjwa

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Wapo watu akiwamo mgombea urais wa Kenya William Ruto kutetea kwamba hakuna haja ya kutahiri sababu ndivyo tulivyoumbwa

Mkono wa sweta na condom ni sawa na kutumia mafuta ya kujipaka mwilini useme upikie chakula

Huo mkono wa sweta laba uupige stepla iwe condom
 
Condom zimevumbuliwa Mwaka gani na tohara imeanza Mwaka gani?

Mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.
 
Sikuwahi jua hili ni kweli ukiwa na mkono wa sweta uwezi vaa condom how🤷‍♂️
 
Back
Top Bottom