DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Asubuhi asubuhi nadondosha uzi.
Ebwana wasouth wana dharau sana kwa waafrika wenzao. Yaani hawa jamaa tumewapigania na tuliwapa hadi hifadhi lakini leo wanatuona waafrika wenzao kama nyani na ngedere. Wanatuona kama binadamu ambao hawajastaarabika.
Kuna video nimeiona jana usiku wakiiongelea Simba imenitia kichefuchefu mno. Hii siyo mara ya kwanza kukutana na kauli zao za kutudharau. Kocha wa Orlando Pirates aliwahi kutoa kauli za hovyo sana baada ya game ya kwanza walipocheza na Simba kipindi kile kwenye mashindano haya haya ya CAFCC. Watu wengi hawakuwahi kusikia alichosema kipindi kile.
Hii video imeniudhi mno na leo nawasagia kunguni Mamelodi na Orlando wote wapigwe na Jumapili Simba imalizie kazi hii ya kitume.
Na sichezi wana kupiga tena amapiano!
Kwa uandishi huu ndio maana hatuendelei.Asubuhi asubuhi nadondosha uzi.
Ebwana wasouth wana dharau sana kwa waafrika wenzao. Yaani hawa jamaa tumewapigania na tuliwapa hadi hifadhi lakini leo wanatuona waafrika wenzao kama nyani na ngedere. Wanatuona kama binadamu ambao hawajastaarabika.
Kuna video nimeiona jana usiku wakiiongelea Simba imenitia kichefuchefu mno. Hii siyo mara ya kwanza kukutana na kauli zao za kutudharau. Kocha wa Orlando Pirates aliwahi kutoa kauli za hovyo sana baada ya game ya kwanza walipocheza na Simba kipindi kile kwenye mashindano haya haya ya CAFCC. Watu wengi hawakuwahi kusikia alichosema kipindi kile.
Hii video imeniudhi mno na leo nawasagia kunguni Mamelodi na Orlando wote wapigwe na Jumapili Simba imalizie kazi hii ya kitume na kinabii.
Na sichezi wala kusikiliza tena amapiano!
"Haaa Haaa habari ndiyo hiyo, haaa haaa habari ndiyo hiyo"Enheee......??? Au ndio mwisho wa kuripoti.
Simba imepata sare mbele ya maelfu wa mashabiki wahuni ambao bado wana harufu ya damu wa Libya. Simba imepata ushindi katika mechi ngumu mbele ya Sfaxien. Simba imepata sare iliyohitaji katika mechi ngumu ya kimaamuzi dhidi ya Bravos.Shida kubwa inayoikabili simba kwa muda mrefu ni kupata ushindi au hata sare tu ugenini kwenye mechi za Kimataifa.
Sitapost video mpaka kwanza tuwatoe wale washnz maana kuna vyura watazitumia vibaya. Hizi dharau zao zimenitibua kinoma yaniHako kavideo kako wapi. Au ni story kutoka kwa rafiki unaogopa kuweka sosi ya habari