pipi mti
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 764
- 514
Nimekua nikijiuliza bila kupata majibu yaliyokamilika kuhusiana na tabia ya baadhi ya wanawake kupiga punyeto kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume.
Ni nini hasa sababu ya wanawake kujihusisha na punyeto na ni yapi madhara ambayo mwanamke anaweza kupata kutokana na kupiga punyeto?
Nawasilisha.
Ni nini hasa sababu ya wanawake kujihusisha na punyeto na ni yapi madhara ambayo mwanamke anaweza kupata kutokana na kupiga punyeto?
Nawasilisha.