Sababu ni kuwa introvert au network kuwa fupi?

This is the sign of low self esteem mkuu, ebu jithathmini, haiwezekani upo kwenye daladala umekaa na mtu, text zinaingia kwake unaanza kuzitafakari ukilinganisha na rate ya zako kisha kulinganisha na hali ya watu wako kwenye simu yako. Kuna mawili hapa either bado mdogo kiumri au hujajielewa vema bado, kaa jitafakari vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi simu yangu tofauti na sms za magroup ya whatsapp hakuna txt inayoingia... upande wa sms za kawaida huwa ni sms za Songesha , mpower , pesa ni mpesa baasi...

Mpaka sasa hivi nadhani nimeanza kusahau jinsi ya ku-reply text.. hata mtu akinitext huwa natumia hata dk kuwaza jinsi ya kureply.. hasa akiwa ametext kwa ajili ya kusalimia nakosa cha kujibu..

Lakini zamani wakati nimemaliza form 4 na six sikuwa hivyo nilikua nachati sana na kupiga simu sana..
 
Can be true or not inategemea umechagua angle ipi kuanalyse the situation.... No argument
 
Madogo wa shule wanakua na company kubwa sana na story nyingi which they relate, ni aghalabu sana kukuta adults wanarelate katika stories unless ni coworkers au wanakamati
 
Nimekuelewa Paula Paul

Nimeuliza vile kuna wale wanalazimishia ratiba zao zifanane na kila mtu. Lifestyle yao ifanane na kila mtu. Na "Mambo yao ya Msingi" yawe ya kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Job wananionaga I'm so antisocial nikiamka kitini kwangu ni either naenda chooni, nimeitwa sehemu au uhasibu kufata changu baasi, mengine tutachati kwa office wasap grup.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Emoji zina tatizo gani? Mfano ya kushukuru hauwezi kuitumia kwa workmate? Vijana wadogo mna complicate maisha, alafu kabisa kutopata message yeyote mnaona sifa! Jiangalieni, haiwezekani mtu uliyesoma na kuwa na kazi kuwa na circle ndogo kiasi cha kukaa masaa zaidi ya 6 hakuna anayekuuliza hata "How is your day?
Kwa hiyo hata Wanafamilia hawana time ya kuchat na wewe na mnajipa moyo eti mpo busy ha ha Badilikeni kuna introverts kibao ila wana watu wanaowakea hata kwa kuchat kwa sababu wanajua si wazungumzaji so wanaamua ku chat nao, nyinyi mna matatizo yenu msiwahusishe introverts
Sent using Jamii Forums mobile app
 
And you are proud of it! Kuna siku utawahitaji hao watu na itakua too late! Ndio maana tatizo dogo tu wengi wanakuja kuomba msaada JF na wanapewa majina hadi ya utapeli kumbe Kuna watu wangeweza kukusaidia unawafungia vioo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama unalazimisha brother!!!
Kwani siwezi jikaza nikafa na tai yangu shingoni???

Na usiniletee story za "atakaenizika simjui".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…