Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nmecheka kwa nguvu kweli mkuuMaisha ni kuchagua ......... ukiwa introvert na huna hela mfukoni stress zinakumaliza.
This is the sign of low self esteem mkuu, ebu jithathmini, haiwezekani upo kwenye daladala umekaa na mtu, text zinaingia kwake unaanza kuzitafakari ukilinganisha na rate ya zako kisha kulinganisha na hali ya watu wako kwenye simu yako. Kuna mawili hapa either bado mdogo kiumri au hujajielewa vema bado, kaa jitafakari vizuri.Jana usiku mida ya saa tatu usiku natoka kwenye mizunguko yangu ya siku kwenye daladala pembeni yangu alikua amekaa kijana rika moja tu na mimi. Mkononi kashikilia smart phone yake anachati macho hayana pazia, ilikua kila baada ya sekunde kadhaa messages zinaingia kuanzia texts za kawaida hadi WhatsApp. Messages kutoka kwa wadada na wakaka pia zikiwa na viemoji mbali.
Nikaanza kujitafakari na mimi text zangu za mwisho ilikua zile za kutakiana heri ya mwaka mpya tena zina blue ticks na response rate ni chini ya 30% text za kawaida ni kutoka Tigo kukujulisha promotion zao. Nimetafakari jibu nikapata network ya watu wangu wapo busy kama mimi au ni introvert character ndio chanzo.
Can be true or not inategemea umechagua angle ipi kuanalyse the situation.... No argumentThis is the sign of low self esteem mkuu, ebu jithathmini, haiwezekani upo kwenye daladala umekaa na mtu, text zinaingia kwake unaanza kuzitafakari ukilinganisha na rate ya zako kisha kulinganisha na hali ya watu wako kwenye simu yako. Kuna mawili hapa either bado mdogo kiumri au hujajielewa vema bado, kaa jitafakari vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madogo wa shule wanakua na company kubwa sana na story nyingi which they relate, ni aghalabu sana kukuta adults wanarelate katika stories unless ni coworkers au wanakamatiMimi simu yangu tofauti na sms za magroup ya whatsapp hakuna txt inayoingia... upande wa sms za kawaida huwa ni sms za Songesha , mpower , pesa ni mpesa baasi...
Mpaka sasa hivi nadhani nimeanza kusahau jinsi ya ku-reply text.. hata mtu akinitext huwa natumia hata dk kuwaza jinsi ya kureply.. hasa akiwa ametext kwa ajili ya kusalimia nakosa cha kujibu..
Lakini zamani wakati nimemaliza form 4 na six sikuwa hivyo nilikua nachati sana na kupiga simu sana..
Nimekuelewa Paula PaulBila samahani Puppy.
Mambo ya msingi namaanisha yanayohitaji 'usiriszi' na umakini. Nikimaanisha ni 'strictly prohibited' kutumia emoji kwenye hayo masuala.
Mfano, office issues.
PS. Hiyo sio definition ya 'mambo ya msingi' ila ni definition kutokana na mada hii.
Bila samahani Puppy.
Mambo ya msingi namaanisha yanayohitaji 'usiriszi' na umakini. Nikimaanisha ni 'strictly prohibited' kutumia emoji kwenye hayo masuala.
Mfano, office issues.
PS. Hiyo sio definition ya 'mambo ya msingi' ila ni definition kutokana na mada hii.
dah mwenzko tarehe 31 saa 5 usiku nilizima kabisa maana kuona zile mesage za kutakiwa heri ya mwaka mpya nlikuwa staki maana nlikuwa staki hata kuskia naona vurugu tu simu yangu,isipoingia mesage nakuwa na amani na hata ukinipigia simu itaita mpka itakata baada ya hapo ntakutext tu mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama unalazimisha brother!!!And you are proud of it! Kuna siku utawahitaji hao watu na itakua too late! Ndio maana tatizo dogo tu wengi wanakuja kuomba msaada JF na wanapewa majina hadi ya utapeli kumbe Kuna watu wangeweza kukusaidia unawafungia vioo
Sent using Jamii Forums mobile app