Sababu ni Nini mpaka inakuwa hivi

Maisha ya mwanaume si yake.
Umri fulani ukisha fika mwanaume anaishi si kwa ajili yake tena.
 
Asilimia kubwa watoto huwaona mama zao ni Bora kuliko baba

Juhudi za baba Huwa hazionekani
Kipindi Cha utoto, ila wakishaanza majukum ndio wanajua love na life ya baba ndio ilikua ya uhalisia ile ya mama ni kitapeli tu.
 
walionena KUA UYAONE

hawakuwa mabwege utoto ni ubwege ,nakama wako sebuleni hapo wamejazana fukuza yote waende kanisani pamoja na mama yao abebe mtoto mdogo kamayupo hanahatia ila hao kuazia umri miaka 5 wambie watoke muda wa kanisa huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…