Sababu nini haswa usababisha??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Waku mimi ninajiuliza kwanini walioko kwenye ndoa wanataka kutoka na walioko nje wanataka kuingi wakti kilasiku wanasikia mikiki mikiki kilasiku kwenye vyombo vya habari hata kwenye mazingira tunayohishi wanaona! lakini wao wanakuwa kama Nyumbu??wanaenda tu!!:thinking:
 

Walioko nje wanataka kuingia kwa sababu Mwenyezi Mungu anapenda watu waishi kwa ndoa.

Na waliomo ndani wanataka kutoka kwa sababu shetani hapendezwi na muunganiko huo wa kumpendeza Mungu.Jiulize inakuwaje watu wanaweza ishi vizuri sana bila ndoa (man and concubine) hata kwa miaka kumi na ushee ila wakifunga ndoa tu yaweza ikachukua siku kadhaa tu kutalikiana na uzoefu (experince) yaonesha hivyo.
 
Wajuvi niwengi lets wait the comment nothing to add!
 
 
nido maisha walioko nje wanataka kuyaonja ........... unajua tumekuwa wadadisi sana na yale tunayoshauri kutoyafanya
ndio tunataka kuyajaribu .........out of curiosity sijui..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…